Kampuni ya simu tigo na infinity na wizi na unyanyasaji wa wafanyakazi,mfanyakazi

Kampuni nyingi hapa nchini zinajifanyia kazi kijanjajanja tu maana hakuna mamlaka inayowafuatilia na rushwa imeshika kasi sana nyakati hizi!!
 
Sio hao tuu wapo wengi tuu na serokali inajua khs ilo ila haina habari kabisaaa
 
Ukiona kampuni inafanya shughli zake kilaghai jua ni ya mkubwa tu, kwasababu ana uhakika wa back up ya IKULU
 
Kampuni nyingi hapa nchini zinajifanyia kazi kijanjajanja tu maana hakuna mamlaka inayowafuatilia na rushwa imeshika kasi sana nyakati hizi!!

Mimi nashangaa Takukuru wanavyojenga majengo mazuri na wao kujifungia humo ndani!!Takukuru kwenye ofisi zao wameweka namba za ttcl kwa ajili ya mawasiliano ukipiga hata hazipatikani na hazipo!!hii inadhihirisha hawana lengo la kupambana na rushwa kabisa bali kitengo wala kodi zetu bure.
 
Hi I kampuni ni ya wale ndugu wawili walikuwa na kesi za EPA ( Jackson I ba janson ) naweza kukosea spelling za majina. Ila kuhusu kibao bango Lao mbona lipo pale getini na ni kubwa tu. Hivi dorini ------ makubwa bado yuko pale HR office? Mwalu je ? Siku zote kufanya kazi kwenye kampuni iliyokuwa outsourced ni shida kwani jasho lako ndio linaiendesha kampuni. Mshahara wako huenda ni 2000000 ila itakayofika kwako ni 1200000.
 
Je wewe ni muaminifu? Au kwakuwa hukioni boriti la jicho lako na unaona kibanzi cha jicho mwenzako.
 
Back
Top Bottom