Kampuni ya Samsung yazindua simu yake mpya ya Galaxy Note 8

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
355
Reaction score
276
Habari wana JF kama wewe ni mfuatiliaji wa teknolojia pamoja na tovuti yetu ya Tanzania Tech lazima utakuwa unajua kuwa Samsung Jana ilitoa simu mpya ya Samsung Galaxy Note 8. Na kukusogezea karibu leo Tanzania Tech tunakuletea sifa za simu hiyo mpya iliyotoka hivi karibuni...

  • Ukubwa wa Kioo - inch 6.3 3840x2160 chenye teknolojia ya Super AMOLED curved Infinity Display with 18.5:9 ratio
  • Ukubwa wa Simu - 162.5mmx74.6mmx8.5mm
  • Ulinzi - Iris scanner/fingerprint scanner
  • Processor - Samsung Exynos 8895 CPU
  • RAM - 6GB
  • Kamera ya Nyuma - Zikombili zenye 12MP dual rear-facing camera,
  • Kamera ya Mbele - 8MP front-facing camera
  • Sehemu ya Kuchaji - USB-C connectivity,
  • Sehemu ya Kuchomeka Headphone - 3.5mm headphone jack
  • Mfumo wa Uendeshaji - Android 7.0 Nougat
  • Ukubwa wa Memory ya Ndani - 64GB pia ina sehemu ya memory card (microSD expansion)
  • Uwezo wa Battery - 3,300mAh battery yenye uwezo wa Fast charging, wireless charging support
  • Rangi - Midnight Black, Maple Gold, Orchid Grey and Deep Sea Blue colour
  • Bei 2,300,000 (Bei inaweza kubadilika kwa Tanzania)
KUMBUKA : Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa Video.
 
Mbona hakuna mabadiliko makubwa ukilinganisha na toleo lililopita! Bei zao kama kawaida wanashindana iPhone!
 
Specs zimetulia

anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
 
nilitegemea kuwa itatoka na toleo la android 0
Inakuja na Toleo hilo, Sbabu simu hii imewahi kutoka kabla ya toleo la android o kutoka hivyo toleo hilo litakuja kama update kwenye simu hizo za Note 8 na S8
 
Habari wana JF kama wewe ni mfuatiliaji wa teknolojia pamoja na tovuti yetu ya Tanzania Tech lazima utakuwa unajua kuwa Samsung Jana ilitoa simu mpya ya Samsung Galaxy Note 8. Na kukusogezea karibu leo Tanzania Tech tunakuletea sifa za simu hiyo mpya iliyotoka hivi karibuni...

  • Ukubwa wa Kioo - inch 6.3 3840x2160 chenye teknolojia ya Super AMOLED curved Infinity Display with 18.5:9 ratio
  • Ukubwa wa Simu - 162.5mmx74.6mmx8.5mm
  • Ulinzi - Iris scanner/fingerprint scanner
  • Processor - Samsung Exynos 8895 CPU
  • RAM - 6GB
  • Kamera ya Nyuma - Zikombili zenye 12MP dual rear-facing camera,
  • Kamera ya Mbele - 8MP front-facing camera
  • Sehemu ya Kuchaji - USB-C connectivity,
  • Sehemu ya Kuchomeka Headphone - 3.5mm headphone jack
  • Mfumo wa Uendeshaji - Android 7.0 Nougat
  • Ukubwa wa Memory ya Ndani - 64GB pia ina sehemu ya memory card (microSD expansion)
  • Uwezo wa Battery - 3,300mAh battery yenye uwezo wa Fast charging, wireless charging support
  • Rangi - Midnight Black, Maple Gold, Orchid Grey and Deep Sea Blue colour
  • Bei 2,300,000 (Bei inaweza kubadilika kwa Tanzania)
KUMBUKA : Kwa habari zaidi za teknolojia endelea kutembelea Tanzania Tech pia unaweza kudownload App ya Tanzania Tech ili kupata habari zote za teknolojia kwa haraka, pia usisahu kujiunga na channel yetu ya Tanzania Tech ili kupata habari na maujanja mbalimbali ya teknolojia kwa Video.

Bei ya Boxer kiganjani mwako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hiyo ni sababu Google ndio wamiliki wa Android hivyo wanajalisha vya kwao kwanza.
simu zote zenye stock android zinapata mapema, mfano Nokia hizi mpya zinapata updates hapo hapo sababu ni stock hazina modification yoyote.

simu zenye android ambazo ni custom.kama vile grace ui ya samsung au sense ya htc inachukua muda sababu inabidi wazi modify zile rom kwanza ziendane na simu zao.
 
Back
Top Bottom