Kampuni ya ranchi za taifa (NARCO)

Kampuni ya ranchi za taifa (NARCO)

NARCO

Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
19
Reaction score
17
Tunafuraha kuwatangazia watanzania wote kwamba kampuni ya ranchi za taifa sasa imedhamiria kuwalisha watanzania nyama yenye ubora wa kimataifa na salama kwa afya na matumizi kwa binadamu.

Karibu katika duka letu lililopo mtaa wa nkurumah au tunaweza kukuletea mahali ulipo endapo utanunua kilo nyingi kuanzia 5kg kwa kuzingatia umbali uliopo.

Vilevile unaweza kutupata katika ofisi zetu zilizopo posta mpya mtaa wa azikiwe jengo la Mavuno (MAVUNO HOUSE) ghorofa ya pili.

Contacts:
0655123911
0766123911
0714281111
0753281111
 
Habari mbaya sana kila kitu Dar lini mtasogeza huduma zenu uku mikoani Arusha,Kilimanjaro,Tanga,Manyara na Singida ?.Kilo 5 ni nyingi sana wengine familia zetu hatuzidi watu watatu ukizingatia na hali ya umeme wa bongo nyama inaweza kuoza.
 
Mkuu uwe na heshima kidogo unaingia bila hodi.Mbona umekaaa kibishara sana post ya kwanza hata salamu hakuna unakimbiza na fedha lazima utakuwa mchagga wa kishumundu ha ha ha.

Tunafuraha kuwatangazia watanzania wote kwamba kampuni ya ranchi za taifa sasa imedhamiria kuwalisha watanzania nyama yenye ubora wa kimataifa na salama kwa afya na matumizi kwa binadamu.Karibu katika duka letu lililopo mtaa wa nkurumah au tunaweza kukuletea mahali ulipo endapo utanunua kilo nyingi kuanzia 5kg kwa kuzingatia umbali uliopo.Vilevile unaweza kutupata katika ofisi zetu zilizopo posta mpya mtaa wa azikiwe jengo la Mavuno (MAVUNO HOUSE) ghorofa ya pili.
Contacts: 0655123911
0766123911
0714281111
0753281111
 
Mkuu kwa dar hata 1kg tunakuletea bt usiwe mbali sana na mjini,Tupo pia Tanga,Morogoro na Dodoma.Unaweza pia kuangalia post iliyotolewa na Sojochris katika ukurasa huu utapata details zaidi.
 
Sorry mkuu always we are running with the time on the matters of Bussiness.Hope you get my point
 
Jengeni viwanda vingine maeneo ya Arusha, Manyara, shinyanga na mwanza! soka liko la kutosha na ng'ombe wapo wengi! kusini kusini huko Mbeya, Rukwa na katavi mtakuwa mmesaidia hata kuwapa watanzania.
 
Karibuni sana na mnakaribishwa kuleta tangazo hapa
GSHAYO
unaweza kuni pm kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom