Kampuni ya PIGA BET ni wezi wakubwa mmeamua kuniibia pesa yangu

Status
Not open for further replies.
Naomba kuuliza, maana mi sielewi kitu, kama mechi iliahirishwa, matokea yamepatikanaje?

Na sheria za michezo ya kubahatisha zinasemaje juu ya mechi iliyobetiwa kuahirishwa?

Stake inarudishwa...., Unless kama walistate otherwise....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom