Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,109
- 103,800
Duhh aisee pole! Kwahiyo tangu hapo haujawahi kutamani kurudia tena? Duh maisha yanatufunza vingi..Ni mapitio ya maisha ndugu yangu,na wakati nayafanya hayo yote nilikuwa chuo mwaka wa pili utumishi Mtwara,..
Maisha ya chuo starehe,zikanifanya niingie kwenye huo utapeli ili nitambe vizuri.
Hata wazazi wanapigiwa simu niko polisi walishangaa,maana wanajua niko chuo nasoma na huwa sina mambo mengi.