secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,926
- 50,900
Wamiliki wa hii mitandao wawe makini sana.Wanashirikiana na wafanya kazi wa tigo kuwapa information ni kama wafanya kazi wa BANK wanavyotoa siri ya mtaeja
Wamiliki wa hii mitandao wawe makini sana.Wanashirikiana na wafanya kazi wa tigo kuwapa information ni kama wafanya kazi wa BANK wanavyotoa siri ya mtaeja
Nimelihishi hili kwa zaidi ya miezi 6,tena nikienda sehem nikamkuta wakala mgeni ndio huwa kazi nyepesi au mtoto. Nilikuja kujichanganya kuna sehemu nilishapigaga nikarudia kwenda tena baada ya miezi kadhaa,jamaa akanikumbuka😄Juzi nilikuwa nabishana na Mbaga Jr, kuhusu hili. Dah! Hawa watu wasio waadilifu kwenye haya makampuni watatumaliza.
Huyo jamaa alikufanyeje? Ulitoka salama?Nimelihishi hili kwa zaidi ya miezi 6,tena nikienda sehem nikamkuta wakala mgeni ndio huwa kazi nyepesi au mtoto. Nilikuja kujichanganya kuna sehemu nilishapigaga nikarudia kwenda tena baada ya miezi kadhaa,jamaa akanikumbuka😄
Kwamba mtu anaweza akamtumia SMS hewa wakala wakati wa kutoa pesa 😂Tulikuwa tunabishana kwamba?
Kwahiyo nipo sahihi nikisema makampuni ya simu yanaajiri matapeli!?Kifupi nilikuwa na combination na IT wa mtandao fulani hapa bongo,kwahiyo kazi yangu ilikuwa ni kwenda kwa wakala na kumwambia nataka kutoa hela kwenye mtandao husika(ambao IT wangu anafanyia kazi) akisema toa,nachukua namba ya wakala naituma kwa IT,baada ya dakika 1 wakala atapokea meseji kuwa fulani ametoa milion moja au hata laki 5, basi wakala bila waswas atanipa pesa,nao doka ila akiangalia salio ndio atagundua kapigwa,maana hizi meseji za mchongo ukaa kwa dk 5 au 10 alafu zinafutika.
Kuna comment hapo jamaa amesema alikuwa anashirikiana na IT anayefanya kazi katika kampuni ya mtandao wa simu kufanya utapeli.Mnaweza kuhisi hivyo ila hawa matapeli wala hawajuani na waajiliwa wa mitandao ya simu bali wanabahatisha tu
Tunawasikiliza ili tujue njia wanazotumia kuibia watu.Customer care in 100,sasa kama imekuja namba tofauti kwann unamsikiliza, watu kama nyie ni wakupigwa viboko akili ziwe sawa.
Hili la kushirikiana nahisi ni kweli kwasababu kuna wakala moja aliibiwa pesa : tapeli alitafuta simu inayofanana na ya wakala akaenda kwa wakala kutuma pesa, wakala akajisahau akampa simu ili aweke namba huyo jama akabadilisha simu, ndani ya dak 5 alivotoka hapo kwa wakala pesa ilikua imeshahamishwa, hapo unajiuliza alijua je namba ya siri ya simu ya wakala bila kua na koneksheni na watu wa mtandao?Kuna comment hapo jamaa amesema alikuwa anashirikiana na IT anayefanya kazi katika kampuni ya mtandao wa simu kufanya utapeli.
Sasa sijui unalizungumziaje hilo!?
Kwamba nilibisha au nilikubali?Kwamba mtu anaweza akamtumia SMS hewa wakala wakati wa kutoa pesa 😂
Ukijua ndo utafanyaje sasa hio kazi ya tcra, si suala la akili ni common senseTunawasikiliza ili tujue njia wanazotumia kuibia watu.
Halafu uache kujikuta una akili sana.
Benki wanajua salio na nywila yako wanaijua vyema tu. Huyo tapeli kapewa information yako na mtu wa ndani wa YAS.Nilichojiuliza, inawezekanaje huyu tapeli kujua kiasi cha fedha kilichopo kwenye simu yangu bila kumtajia!?