Kampuni ya mtandao wa YAS imeajiri matapeli!?

Mtandao wowote wa simu,wanawasiliana na wateja kwa namba 100 tu,je huyo tapeli amekupigia kupitia namba hiyo??
Kama sivyo basi jitafakari.
Haya yote naelewa mzee, suala lililofanya nishushe uzi sio kupigiwa simu na tapeli. Suala ni tapeli kujua salio lililopo kwenye simu.
Unaweza kusema ameropoka tu.
Lakini hauwezi kuropoka shilingi 14570, na salio likawa hivyo kweli, hapa haujaropoka, hapa unakuwa una taarifa, yaani unajua.
 
Ni michezo tu,nilifanya hii michezo mwaka 2015 .. ila nilipokamatwa pale stendi Mtwara mjini ndio ukawa mwisho.
Kikubwa kila jambo lina sababu,ila mzizi mkuu ni Ofisi ya IT wa mtandao husika.
Hao huduma kwa wateja mna wasingizia tu,maana hawawezi ku access ac ya mtu mpk pale utakapopiga simu kuwasiliana nao.
Em funguka, toa muongozo mkuu
 
Experience yangu inasema Hawa wanaosajili line mtaani wengine ni wezi .

Pale anapokusajilia anakuwa access za information zako , Mimi Kuna siku wale wasajili line walikuja kunipandishia line yangu kuwa 4g nikawatajia Nida na taarifa nyingine .

Mimi mwenyewe mtoto wa town walivyoondoka nikaingia Tigo pesa yangu app kwenye device connected nikaona Kuna simu ipo siitambui , nikamLog out kumbe jamaa alikuwa na access ya kuona miamala yangu kupitia app ya Tigo pesa yake alivyokuwa nayo baada ya Mimi kumtajia taarifa zangu aliLogin bila kujua
Sitowahi kusajili laini kwa wale vijana watembea kwa miguu mitaani.
 
Hebu eleza mkuu hicho kisa chako 😂
Kifupi nilikuwa na combination na IT wa mtandao fulani hapa bongo,kwahiyo kazi yangu ilikuwa ni kwenda kwa wakala na kumwambia nataka kutoa hela kwenye mtandao husika(ambao IT wangu anafanyia kazi) akisema toa,nachukua namba ya wakala naituma kwa IT,baada ya dakika 1 wakala atapokea meseji kuwa fulani ametoa milion moja au hata laki 5, basi wakala bila waswas atanipa pesa,nao doka ila akiangalia salio ndio atagundua kapigwa,maana hizi meseji za mchongo ukaa kwa dk 5 au 10 alafu zinafutika.
 
Haya yote naelewa mzee, suala lililofanya nishushe uzi sio kupigiwa simu na tapeli. Suala ni tapeli kujua salio lililopo kwenye simu.
Unaweza kusema ameropoka tu.
Lakini hauwezi kuropoka shilingi 14570, na salio likawa hivyo kweli, hapa haujaropoka, hapa unakuwa una taarifa, yaani unajua.
Mambo madogo hayo,siku hizi hata taasisi za mikopo ya online zinaweza kuaccess account yako kasoro kutoa hela tu mpk confirmation yakotu.
 
Kama bank wanaweza kuiba shilling 100 kwa kila mteja mara million kadhaa wana pesa nyingi.

Hiyo ni mitandao ndani taasisi husika, jiulize wauza mabando kitonga hiyo biashara inawezekana vipi bila kudeal na programers?

Yani bia, nyama choma, Subaru na mademu ndio sumu ya nchi yetu watu hawawezi kuacha wizi kwa tamaa ya kumudu hayo hapo juu na haswa vijana.
 
Kifupi nilikuwa na combination na IT wa mtandao fulani hapa bongo,kwahiyo kazi yangu ilikuwa ni kwenda kwa wakala na kumwambia nataka kutoa hela kwenye mtandao husika(ambao IT wangu anafanyia kazi) akisema toa,nachukua namba ya wakala naituma kwa IT,baada ya dakika 1 wakala atapokea meseji kuwa fulani ametoa milion moja au hata laki 5, basi wakala bila waswas atanipa pesa,nao doka ila akiangalia salio ndio atagundua kapigwa,maana hizi meseji za mchongo ukaa kwa dk 5 au 10 alafu zinafutika.
Juzi nilikuwa nabishana na Mbaga Jr, kuhusu hili. Dah! Hawa watu wasio waadilifu kwenye haya makampuni watatumaliza.
 
Hawa kuna namna wanajuana na wafanyakazi wa mtandao, ama ndio hao hao wafanyakazi wao.
Mnaweza kuhisi hivyo ila hawa matapeli wala hawajuani na waajiliwa wa mitandao ya simu bali wanabahatisha tu. Ila huyu anayesema wametaja salio kwa usahihi, inawezekana yeye mwenyewe kuna mahali alijiingiza kingi kwasababu kwa maelezo yake inaonekana kuna namna anaamini kuwa wanaompigia ni waajiliwa wa YAS.
Matapeli wengi sana huwa wanapatikana Katindiuka, Ifakara. Ukienda hiyo eneo wapo bize vibaya mno na kupiga piga simu lakini sijui kwanini hawachukuliwi hatua.

Lingine kwa wanaotumia hizi apps za miamala, muwe makini na kutotoa msimbo wauda (OTP)usimpe mtu hata kama akikwambia anatokea ofisi ya hii mitandao ya simu.
 
Wengi sana wanabahatisha, lakini wachache nadhani wanajua kabisa kwenye simu una shilingi ngapi, hata mimi ilishawahi kunitikea.
 
Sio wote
Mnaweza kuhisi hivyo ila hawa matapeli wala hawajuani na waajiliwa wa mitandao ya simu bali wanabahatisha tu. Ila huyu anayesema wametaja salio kwa usahihi, inawezekana yeye mwenyewe kuna mahali alijiingiza kingi kwasababu kwa maelezo yake inaonekana kuna namna anaamini kuwa wanaompigia ni waajiliwa wa YAS.
Matapeli wengi sana huwa wanapatikana Katindiuka, Ifakara. Ukienda hiyo eneo wapo bize vibaya mno na kupiga piga simu lakini sijui kwanini hawachukuliwi hatua.

Lingine kwa wanaotumia hizi apps za miamala, muwe makini na kutotoa msimbo wauda (OTP)usimpe mtu hata kama akikwambia anatokea ofisi ya hii mitandao ya simu.
Sio wote wanabahatisha.Mimi wamewahi kunipigia mara tatu tofauti na kutaja Salio sahihi.
 
Kama ni hivyo anza kufatilia pengine akaunti yako haipo salama mkuu. Angalia ni wapi taarifa zako zilipovuja anzia na apps uliizo nazo kama unatumia smartphone angalia apps ulizozipa ruhusa ya kusoma sms zako kama zote unazijua na kuziamini. Mfano Kuna watu wamewapa access makampuni ya mikopo kusoma sms zilizopo kwenye simu zao.
 
Tigo wanashida hasa vijana wao wanaosajili line mi kila Leo nilikuwa napokea msg nida yangu imetumika kufanya utapeli, hapo ni baada ya kusajili line ya tigo mpaka sasa nimefungiwa nida yangu sababu ya tigo
 
Mara nyingi salio huwa wanaziona sijui hata inakuwaje. Kwa mfano kwenye simu kama una laki, tapeli anaweza akakutumia SMS kwamba umepokea laki Moja na sasa salio lako ni laki mbili, na ukiangalia ni kweli 😂.

Sijui huwa wanaonaje Salio zetu
Wanashirikiana na wafanya kazi wa tigo kuwapa information ni kama wafanya kazi wa BANK wanavyotoa siri ya mtaeja
 
Back
Top Bottom