- Thread starter
- #41
asante kwa mawazo yako, www.jajojo.com jajojo@jajojo.comSasa ulikuwa unashindwa nini kuweka terms zako za biashara muda wote watu walipokuwa wanakuuliza.?
biashara ni makubaliano, punguza hasira mheshimiwa!Mkuu huyo mnunuzi ni mwizi anatuibia sisi wakulima mbegu tununue kwa kilo alaf mavuno tuuze kwa yeye anachokiita debe
Huo c ndo wizi unaotufanya sisi wakulima tewe maskini kila siku
Shame on the company nyie ndo majizi mnaorudisha maendeleo yetu wakulima nyuma kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app