Kampuni ya Jajojo inanunua mahindi kwa wingi.

Kampuni ya Jajojo inanunua mahindi kwa wingi.

Wakuu kampuni ya Jajojo inanunua mahindi kuanzia gunia mia na kuendelea. wasiliana
nasi kama wewe ni muuzaji wa mahindi.
Tupo jijini Mbeya.

0715 966693

jajojo@jajojo.com

www.jajojo.com

Asanteni.

Kipindi hiki? Huwa mimi nanunua mazao mengi, nahifadhi kwenye vihenga vyangu na kuuza, ILA KIPINDI HIKI SITHUBUTU, NGOJENI YA SUKANI YATOTEKEE KIPINDI KILE .... AU MENGINE MAKUBWA ZAIDI..
 
Hata mikoa tofauti na Mbeya mnanunua?
Je gunia mnanunua kwa bei gani maana ninayo mahindi mengi sana ila sipo Mbeya
ndio mheshimiwa kwani uko mkoa gani? na bei itategemea ulipo.
 
Jajojo mbona hutaki bei ya kununulia hayo mahindi, unaficha bei yako km wezi wa makinikia.
 
Jajojo mbona hutaki bei ya kununulia hayo mahindi, unaficha bei yako km wezi wa makinikia.
mheshimiwa bei inategemea wewe uko wapi, jajojo tupo Mbeya hivyo tunanunua gunia moja kati ya elfu 36000-40000 kwa sasa. Lakini bei inabadilika sana wakati wowote inaweza kwenda juu au kushuka chini.
 
Hapa hakuna biashara bali kuna ulanguzi.
mheshimiwa bei inategemea wewe uko wapi, jajojo tupo Mbeya hivyo tunanunua gunia moja kati ya elfu 36000-40000 kwa sasa. Lakini bei inabadilika sana wakati wowote inaweza kwenda juu au kushuka chini.
 
Gunia La Kilo Ngapi? Weka Bei Acha Maneno Mengi, Unaogopa Nini Kuweka Bei Ijulikane?
 
mheshimiwa bei inategemea wewe uko wapi, jajojo tupo Mbeya hivyo tunanunua gunia moja kati ya elfu 36000-40000 kwa sasa. Lakini bei inabadilika sana wakati wowote inaweza kwenda juu au kushuka chini.

Sasa ulikuwa unashindwa nini kuweka terms zako za biashara muda wote watu walipokuwa wanakuuliza.?
 
Utumiage akili basi.... taja kilo.... debe ndio nini.... achana na lugha za kikabila izo... sio kila mkoa wanJua debe lina kilo ngapi.... busines ya gunia mia unaongea habari za debe.... ina maana hamuna mizani ama....


Wengine sadilin.. debe... dumla... cjui kangomba...
Humu kuna watu tofauti... we convert kivyako sema... gunia la kilo 80... na kilo moja munanunua sh ngap... over.
Mkuu huyo mnunuzi ni mwizi anatuibia sisi wakulima mbegu tununue kwa kilo alaf mavuno tuuze kwa yeye anachokiita debe
Huo c ndo wizi unaotufanya sisi wakulima tewe maskini kila siku
Shame on the company nyie ndo majizi mnaorudisha maendeleo yetu wakulima nyuma kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom