Kampuni ya AQUA iliyoleta ukakasi ishu ya Dangote ni ya nani?

You seem to know how presidents should behave. Try to be one and let's see your style. Rais wetu hana cha kuficha and is very transparent ndiyo maana anatoa ufafanuzi hadharani ili kuondoa majungu. He does not tolerate bureaucracy and red tape.
Angekuwa transparent angeruhusu bunge live ka Jk, angekubali kukosolewa na sio kuwaweka mahabusu wanaomkosoa.
 
Air Hammer Wells
Air Hammer or Percussion Drilling is used when the water table is deep and/or drilling must pass through rock. The drill bit is repeatedly hit with a compressed air driven piston to crush the material at the base of the bore hole. Cuttings are removed by the compressed air. This type of drilling is expensive but is the only option for deep wells or wells in solid rock. St Paul Partners has contracted with several well drilling companies in Tanzania, including Hydro Tech Tanzania Ltd and Aqua Well Drilling Ltd. The photo below shows the Aqua rig at Kiwele as they hit water. Notice the pulverized sand around the well that had been removed during the drilling. The next step is to install casing (6" PVC pipe) with a slotted screen at the bottom to admit water. The well is then "developed" by flushing with water under pressure to remove fine particles and develop channels for water to flow in the aquafer.

Deep wells often need a powered submersible pump that lifts water to the surface to fill storage tanks. At Kiwele, water was found at 30-40 meters and the well was drilled to 80 meters. Pressure in the aquafer pushed the water level up to a meter from the surface allowing a hand pump to be used on this well.
Kampuni ya kuchimba visima vya maji mpaka kwenye kutafuta gesi na udalali wa gesi...That's one hell of a big step!
 
Food for thought! Ila kumbuka dalali ni mnyonyaji,kwa mfano makaa ya mawe yako hapahapa lakini ataingia mkataba na kampuni ya nje kwa sababu tu itamlipa.ila ushauri wangu kwa dangote asilete malori 600 ili vijikampuni vya kibongo navyo vipate angalau mlo mmoja.
Sio asilete. Ameshaagiza, na yataingia yote kabla ya krismasi. Kapima kaona bora alete magari kuliko ukanjanja wa matajiri wa malori wezi wezi tu.
MADALALI tupa kule.
 
awa jamaa kama ndio wenyewe umeme wao sio wa uhakika,

tunasikia uko lindi na wilaya umeme ni full kukatika tu.
tena bila sababu za msingi


zake
AQUA power ni kampuni ya kuzalisha umeme.

Nadhani ndo wamepewa tenda baada ya majenereta yaliyokuwa yakitumika mwanzo kuingizia hasara kampuni na inasemekena project iko kwenye hatua nzuri. Soon Dangote atapata umeme toka kwa hawa jamaa kabla ya mwezi Aprili 2017 yapata Megawati 30

Hawa jamaa kama sikosei nadhani ndo wanaozalisha umeme wa Lindi na Mtwara kama megawatt 18 hivi
 
Angekuwa transparent angeruhusu bunge live ka Jk, angekubali kukosolewa na sio kuwaweka mahabusu wanaomkosoa.
Msamehe huyo kwani kumezuka hii tabia ya kutupiatupia maneno bila hata ya kuelewa maana yake! Hapo tu ametumia maneno matatu ambayo nina hakika akiulizwa aeleze kwa nini kayatumia ataanza kujiumauma kidole...hivi angetumia Kiswahili kungekuwa na tatizo gani? Kusema serikali ya Magufuli ni transparent ni ulimbukeni kwani katika vita dhidi ya ufisadi hakuna silaha kama ya uwazi na uhuru wa kusema. Magufuli kaamua kuwanyamazisha wasiokubaliana naye, je anaogopa nini?
 
Nimemsikia Magufuli akisema atawafutia usajili.

Nataka nione atafanya hivyo kwa kifungu kipi cha sheria na kwa kosa gani hasa.

Udalali (brokerage) ni mfumo halali kabisa wa kibiashara; ili mradi hakuna mtu aliyekula rushwa au kufanya udalali wake na kulipwa comission yake kinyume cha sheria.
Mkuu,
Kwa hili wala hautaji kuwa na akili kubwa kujua kwamba kulikuwa na mazingira ya rushwa. TPDC wanakuomba ununue gesi kutoka kwao halafu unaitaji dalali wa nini ambaye anakwenda kununua uko uko TPDC?!
 
Sio asilete. Ameshaagiza, na yataingia yote kabla ya krismasi. Kapima kaona bora alete magari kuliko ukanjanja wa matajiri wa malori wezi wezi tu.
MADALALI tupa kule.
Watanzania tunaroho mbaya sana ila wewe umezidi.
 
Mkuu,
Kwa hili wala hautaji kuwa na akili kubwa kujua kwamba kulikuwa na mazingira ya rushwa. TPDC wanakuomba ununue gesi kutoka kwao halafu unaitaji dalali wa nini ambaye anakwenda kununua uko uko TPDC?!

Mkuu, huo bado siyo uthibitisho kwamba kulikuwa na rushwa. Kwa taratibu za kibiashara unaweza kuhitaji dalali kama garama za wewe kumfikia TPDC wewe mwenyewe ni kubwa kuliko kumfikia TPDC kupitia dalali. Kumbuka, generally, biashara zinaendeshwa kwa kanuni muhimu ya kupunguza matumizi na kuongeza faida. Upo hapo?
 
Kama vipi hoja hii ndio iwe mbadala wa Dangote....maana sasa hivi Magu katubana kila kona mpaka tunakosa hoja...TUKOMAENI NA HII HII YA KUONA ATAWAFUTIA USAJILI KWA KIFUNGU GANI NA HATA AKIWAFUTIA TUKOMAAENI KWAMBA HAJATENDA HAKI
Hizi kauli za nitafuta, nitafukuza, nitataifisha, nitapora ardhi ni anti business. Kwa nchi inayotaka kuchochea uwekezaji hasa wa kutoka nje haitakiwi kutoa kauli kama hizi kwa kuwa zinahatarisha uwekezaji. Mwekezaji yoyote kabla hajawekeza anaangalia risks ambazo mtaji wake utakutana nazo. Na pia wanaangalia ile kauli ya "leo kwako kesho kwangu" hivyo wanamalizana kwa kusema kuwa nchi hii haifuati utawala wa kisheria hatuendi kuwekeza. Ukishabikia kauli kama hizi ina maana kuwa hata Dangote siku moja anaweza kufutiwa usajili siku mkuu akiamka vibaya. Safari ya kuelekea Tanzania ya viwanda sio lelemama na inahitaji watu wenye upeo sio kuokoteza akina Mwijage
 
kwa hiyo hawa ni wapiga dili..wamepata dili. yes maana wapiga dili wana create constraints hadi wahitajike tena kwa bei mbaya.
Ata sijui mkuu. Ila mi najua ndo wamepewa tenda ya kuzalisha umeme baada ya mambo kuanza kwenda kombo
 
hivi letsa say kwa mfano mkikukuta ni ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani mtasemaje

kwa mfano labda
Kwani wao au yeye ni nani mkuu.......
Tapeli ni tapeli tu,, haijalishi yuko upande gani!!!
 
Mkuu, huo bado siyo uthibitisho kwamba kulikuwa na rushwa. Kwa taratibu za kibiashara unaweza kuhitaji dalali kama garama za wewe kumfikia TPDC wewe mwenyewe ni kubwa kuliko kumfikia TPDC kupitia dalali. Kumbuka, generally, biashara zinaendeshwa kwa kanuni muhimu ya kupunguza matumizi na kuongeza faida. Upo hapo?
Kama madalali hawatakiwi tena basi hata pale Bandarini wale mawakala nao waondolewe kabisa. Sion tofauti yao na hawa wapiga dili wengine.
 
Back
Top Bottom