Heee ngosha angesha fukua ilo kaburi asee.hivi letsa say kwa mfano mkikukuta ni ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani mtasemaje
kwa mfano labda
Heee ngosha angesha fukua ilo kaburi asee.hivi letsa say kwa mfano mkikukuta ni ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani mtasemaje
kwa mfano labda
mbona chadema mnakasirika, au mzee wa mvi anahusika, kuna harufu harufuMwambie raisi wako aache kudharilisha nchi kama alijuwa kuna kampuni hiyo kwa nini alikuwa anataka mpaka Forbes waandike baada ya Dangote kulalamika its bad move for our country huwezi kuongoza nchi kwa utapelitapeli hivi ukiwa raisi hufunzwi namna ya kukabiliana na matatizo I am tired and sick
Ni lini TPDC walimwomba?Mkuu,
Kwa hili wala hautaji kuwa na akili kubwa kujua kwamba kulikuwa na mazingira ya rushwa. TPDC wanakuomba ununue gesi kutoka kwao halafu unaitaji dalali wa nini ambaye anakwenda kununua uko uko TPDC?!
You seem to know how presidents should behave. Try to be one and let's see your style. Rais wetu hana cha kuficha and is very transparent ndiyo maana anatoa ufafanuzi hadharani ili kuondoa majungu. He does not tolerate bureaucracy and red tape.
awa jamaa kama ndio wenyewe umeme wao sio wa uhakika,
tunasikia uko lindi na wilaya umeme ni full kukatika tu.
tena bila sababu za msingi
zake
hivi unajua mizungusho ya maofisini wewe?,Mkuu,
Kwa hili wala hautaji kuwa na akili kubwa kujua kwamba kulikuwa na mazingira ya rushwa. TPDC wanakuomba ununue gesi kutoka kwao halafu unaitaji dalali wa nini ambaye anakwenda kununua uko uko TPDC?!
Au siku Mzee wa kuchukia umaskini akiingia ikulu!Wapiga dili sio awamu yao hii wasubiri hadi 2030
Ninachoona kwenye haya malumbano ya hoja ni mambo yafuatayohivi unajua mizungusho ya maofisini wewe?,
utaambiwa njoo kesho meneja kafiwa na shemeji yake,
ukija kesho utaambiwa rudi jumatatu mtandao sio mzuri,
ukija jumatatu utaambiwa leo jumatatu ya majivu jaribu wiki ijayo etc,
kwanini nisitumie middle man wakati naendelea na mambo mengine maana huo mda wa kuzunguka maofisini sina,Time is money
hivi letsa say kwa mfano mkikukuta ni ya kiongozi mmoja wa chama cha upinzani mtasemaje
kwa mfano labda
Acha uongo ww...umeme wa lindi na mtwara unazalishwa na Tanesco Mtwara kupitia gas power plant yake iliyopo mtwara though haujaingizwa kwenye grid ya Taifa..nimefanya field yangu power pale mtwara 2014 so najua vizuri na mradi ulikuwa chini ya Warsila ile 2007 b4 kukabidhiwa kwa tanesco..ni megawat 18 kwa generator ambazo zinatakiwa ziproduce but only around 12MW are produced..hii ni kutokana miundombinu si rafiki kwa ajili ya hizo..pia co generator zote 9 zinapiga mzigo..na gesi inayotumika inauzwa na MP company
Umejitutumua lakini hakuna lolote uliloandika, just relax bhanaMwambie raisi wako aache kudharilisha nchi kama alijuwa kuna kampuni hiyo kwa nini alikuwa anataka mpaka Forbes waandike baada ya Dangote kulalamika its bad move for our country huwezi kuongoza nchi kwa utapelitapeli hivi ukiwa raisi hufunzwi namna ya kukabiliana na matatizo I am tired and sick
Kwanini gas iuzwe na M&P kwa tanesco na sio TPDC? Wartsila aliingiaje pale mkuu, ninavyofahamu pale kuna CAT gas Engines.. Wartsila hakuwahi kuwepo mtwara na lindi au ulikuwa unamaanisha ARTUMAS energy..
Kama tanesco wanaweza kurun Ile power plant na kuzalisha 12MW kwa ajili ya mtwara na lindi wameshindwaje tena kuongeza gas engines nyingine na kuzalisha 30MW na kumpa Dangote na itakayosalia kuiingiza kwenye grid au kuipeleka Songea?
Nimerepost kuhusu kurekebisha post yangu..Kuna mtu alinirekebisha kuwa mwanzo walikuwa ni Wentworth na si wartsila..ni kweli coz nimecheki na nimeafiki...Mantrac Group
Mantrac Group is the authorized Caterpillar dealer, distributing and supporting Caterpillar construction machines so ni haohao CAT...na kuhusu kuongeza gas engines labda wajenge plant nyingine..hiyo plant iliyopo hapo installed generators ni ndogo ambazo zipo 9,ni za direct gas injection na siyo turbine kama za ubungo,zina cylinder heads 20 each na zina uwezo wa kuproduce max of 18 MW zote.But kutokana na sababu mbalimbali mojawapo ni miundombinu mibovu na pia generator zingine ni mbovu,wanaproduce only eleven point something MW,ambazo ni approx 12MW na gas inayotumika ni from Mnazi bay ambayo ni M&P ndio wanasupply apo..pia plant ipo jirani na M&P hapo na ndio wahusika..kuhusu TPDC sijui ni kwanini hawawauzii gas but for what I know kwa sasa TPDC ndio wamepata umiliki wa baadhi ya visima vya gas..mwanzoni hawakuwa na umiliki huo...