Kampuni ya AQUA iliyoleta ukakasi ishu ya Dangote ni ya nani?

K
Mwambie raisi wako aache kudharilisha nchi kama alijuwa kuna kampuni hiyo kwa nini alikuwa anataka mpaka Forbes waandike baada ya Dangote kulalamika its bad move for our country huwezi kuongoza nchi kwa utapelitapeli hivi ukiwa raisi hufunzwi namna ya kukabiliana na matatizo I am tired and sick
Kunywa maji dada
 
Ninachoona kwenye haya malumbano ya hoja ni mambo yafuatayo
1. Kuna siasa ndani ya professional za watu, kwa waliosoma biashara na marketing wanaweka hoja za msingi ila wanasiasa wanaongea hisia zao.
2.Kuna issue ya chuki, na kushabikia mambo kiholela, kwa mfano badala ya kutoa hoja mtu anaanza kusema je kama mmiliki wa kampuni ni upinzani angeshatumbuliwa, sasa kwa mpinzani wa chama siyo raia wa tz? Je hatoi ajira kwa wananchi? Huu si ulimbukeni!?
3.Kuna swala la kushabikia kila kitu Rais anachokisema, nadhani ni vema tukakubaliana kwamba kuna mengi mazuri anayafanya na pia kuna mengi anakosea pia kwani yeye ni binadamu siyo Mungu mtu, kwa mfano mdogo tuu kuingiza kwa dangote malori mia sita ina maana wale wenye malori yao tayari hali itakuwa tete sasa hata mikopo sijui watalipaje. Kila anaempinga bwana President kwa hoja anaonekana ni mpinzani kisiasa na hafai. Sijui nani katuloga watanzania jamani.
4. Watu wanatoka nje ya mada husika na kuongea yasiokuwa na uhusiano wa mada. Sielewi ni kwa kutoelewa au shule pia inahusika au lah! Kwa mfano mtu anasema mzee wa manvi anahusika au, mara ingekuwa ccm tungelindana sasa hizi ni kukosa cha kuandika au ili mradi kuonekana umechangia?
5. Mwisho kabisa, tupunguze Jazba, tuwe waelewa, tusidhalilishane au kutukanana au kutakiana vifo kisa tuu mada na wenye pesa zao na umaskini wao na wanaendelea kupambana kufanya maisha yaende vema. Hakuna atakaekuletea pesa mezani kamwe, ni wewe binafsi kufanya kazi kwa bidii, japo pia vikwazo ni vingi
Aisee hao jamaa waliopewa tenda ya kupeleka mzigo wababaishaji bora Dangote alete hayo malori tu
 
Ulivyotaj
Tatizo ninalo liona mimi ni kwamba mfumo wa ujamaa umetuathiri sana watanzania. Au kukulia kwenye mazingira ya umasikini ndio akili zetu zikadumaa kabisa. Katika ubepari uchumi unahodhiwa na watu. watu ndio wanakuwa na kampuni mbalimbali za kibiashara. makampuni haya yanatakiwa yafanye kazi na serikali au watu. unaona raha kununua Bombadier Canada lakini hupendi kununua huduma kutoka kampuni ya Tanzania kwasababu mwenye nayo unamfahamu! ile kampuni ya Bombadier ni ya mtu binafsi labda Massawe fulani wa huko sawa na urassa wa Dar anaye wauzia wana jeshi bidhaa na huduma mbalimbali.[/QUOTE
Ulivyotaja hayo majina ya wanywa mbege nikajua unashabikia chagadema
 
Inanikumbusha enzi zile za JKN za "mikingamo" na "wahujumu uchumi" kufukuzana na "walanguzi" kumbe issue ni simple economics of supply and demand.
 
Unajua maana ya neno" Inasemekena"
Nyie mnaoleta habari za "inasemekana" ndo mnaharibu mijadala inayohitaji hard facts.
"Inasemekana" ni chaka la uzushi na majungu..
Sasa badala ya kufurahi mwenye facts kaweka we unaleta kejeli za unajua maana ya inasemekana.
Inasemekana my foot.
 
WaTZ wana matatizo sana!
akili ndogo tu inahitajika kujifikirisha haya!
wengi tumejinunulia vigari used toka Japan, ni mtanzania gani aliwasiliana na muuzaji direct wa gari yake used!
tradecarview, beforward etc ni madalali!
wanawaunganisha watu wenye uhitaji - wewe unahitaji gari na muuzaji anahitaji mteja!
bila ya hao madalali ungenunua gari kwa gharama nafuu Zaidi, lkn pia bila wao nani angejua mjapan gani anauza gari yake!
eti kwa mtanzania kuwa dalali imekuwa nongwa!
achene siasa ktk kazi za watu!
tunapaswa kuheshimu kazi za wengine!
 
Back
Top Bottom