Kampuni ya ACACIA ipo katika mkakati wa Kupunguza wafanyakazi 400

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Kampuni ya Acacia iliyoenda kinyume na Makubaliano kuhusu mchanga wa Madini ipo kwenye mkakati wa kupunguza wafanyakazi hasa kwenye sekta ya ulinzi. Inadaiwa watu 400 wataondolewa.

Chanzo: The Citizens Tanzania
IMG_20170611_082239.jpg
 
Wapunguze tu ila dhambi ya mchanga itawaandama hadi kieleweke...Hivyo vyote ni vitisho tu
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Kampuni ya Acacia iliyoenda kinyume na Makubaliano kuhusu mchanga wa Madini ipo kwenye mkakati wa kupunguza wafanyakazi hasa kwenye sekta ya ulinzi. Inadaiwa watu 400 wataondolewa.

Chanzo: The Citizens Tanzania
View attachment 522209
Hiyo ni kawaida mbona mwaka jana walipunguza wafanyakazi kama 600 kwenye migodi yao yote ya hapa tanzania,na sababu kuu ilikua ni kupanda kwa gharama za uzalishaji na pia bei ya dhahabu kushuka..
 
Hao wafanyakazi wapimwe kwanza kama hawaja athirika na sumu za migodini,maana ni kawaida ya acacia/barick wakishakuona mapafu yameanza kuathirika tu wanakupunguza kazi,vijana wengi wamekufa baada ya kuachishwa kazi.
Halafu ndo hao wanaambiwa wasubiri hadi wafikishe miaka 55 ndo wapewe fedha zao walizoweka NSSF. CCM wajanja sana wanajuwa hizo NSSF za marehemu 400 zitasaidia kwenye miundombinu.
 
Back
Top Bottom