Kampuni sita zasaini mkataba wa awali kununua korosho nchini Tanzania

Mkenya amesainisha mkataba.. akashindwa kulipa .. tuka void mkataba...
imegeuzwa scandal mawaziri wajiuzuru... kwa hasara ya shilingi ngapi Taifa imepata?
Raisi/Serikali amefeli nini kwenye korosho?
 
Kipindi cha nyuma hiyo koroshow ingeshanunuliwa kitamboo tu
Sahv watu wangekuwa wanaendelea na mambo mengine...

Ova
 
Hii habari ipo tangu juzi.. ila kuna watu nimekuwa nikiwacheka wakiandika majanga humu JF.. mlie tu sasa.. kuona ni habari ya tangh juzi.. vidaku

Hongera kwa Serikali yetu
Mlishe--wko koroshow ili aongezee
---

Ova
 
Kama una akili ni vizuri uwe unapeleka hizi habari zako kwenye jukwaa la habari na hoja
 

Kama nchi inataka kufanya biashara lazima tukubaline na sheria za mchezo. Biashara inahitaji uielewe, uwe mvumilivu,na ujue kuna kupanda na kushuka kwa bei
 
Kama nchi inataka kufanya biashara lazima tukubaline na sheria za mchezo. Biashara inahitaji uielewe, uwe mvumilivu,na ujue kuna kupanda na kushuka kwa bei
Sasa mtu ana PhD au hao mawaziri
Hawana idea yoyote ya kufanya biashara
Washazoea kusoma biashara theoretically kwenye majarida tu

Ova
 
Washwahili walisema kuchamba kwingi........ mzigo umemdodea.
 

Jwtz wameshindwa kununua na kubangua kwa vifaru!!!??????? God have mercy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…