Mabeberu wametuachia korosho kwa kupeleka hatukujui .tutagawane basi mazee. Wakulima wanadai, wasafirishji wanadai, wasambazaji gunia,computer,kamba nk wote wanadai.AMCOS ,VYA VIKUU NA HALMASHAURI ziko hoiHizi habari hazitakiwi umepoteza uzalendo... NANI AMEKUAMBIA? AU UNASHIRIKIANA NA MABEBERU?
Hatari sana... tuliambiwa tutagawana tuzile wenyewe... hao wanaodai wote inawezekana ni wapinga maendeleo na hizo halmashauri ambazo ziko hoi WAKALIME... HAPO KWELI NAAMINI MAENDELEO HAYANA CHAMA" utani mwingine yani halafu tumekatazwa kuongelea koroshow...Mabeberu wametuachia korosho kwa kupeleka hatukujui .tutagawane basi mazee. Wakulima wanadai, wasafirishji wanadai, wasambazaji gunia,computer,kamba nk wote wanadai.AMCOS ,VYA VIKUU NA HALMASHAURI ziko hoi
Hizi korosho bado tu hadi leo?? Mwez wa 6 huu kasoro bado tani 228, 000. Jiwe a.k.a stone a.k.a mzee meko a.k.a kifimbo cheza bado yuko ofisini?
Serikali imesaini mkataba wa awali na kampuni sita ya kununua korosho kati ya zilizoomba kununua korosho hizo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Alhamisi Mei 16, 2019 Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda amesema baada ya Kampuni ya Indo Power ya nchini Kenya kushindwa kununua korosho wameendelea kusaini mikataba ya awali.
“Tumeendelea kusaini mikataba mingine na makampuni mengine, mikataba ambayo tumeisaini ni ya awali.
“Mpaka sasa tumesaini na makampuni sita nisingependa kuyataja kwa majina kwa sababu tunajua hali halisi ya makampuni ya korosho watu wanafuatiliana, wanaharibiana biashara pamoja na majina.
“Lakini kuna kampuni moja tuliikaribisha wiki iliyopita imekuja kukagua maghala ya korosho wamejiridhisha kwamba korosho yetu ni safi na haijaharibika na tumepeleka kwenda kuhakiki TBS na wameenda kufanya uhakiki katika nchi yao na wamejihakikishia kwamba ni nzuri na wanajiandaa kulipa.
“Hawa mabwana wakilipa tunawakabidhi korosho mara moja,”alisema Waziri Kakunda.
Akitoa ripoti ya maagizo aliyoagizwa na Rais Dk. John Magufuli wakati akiapishwa, Novemba 12 mwaka jana ya kusimamia ununuzi wa korosho, Kakunda alisema tangu Novemba 13 mwaka jana hadi Mei 15 mwaka huu zimeweza kukusanywa tani 225,000.
“Kati ya hizo tani 2,200 zinaendelea kubanguliwa na viwanda vya ndani kwa mikataba maalum. Maana yake zinabaki tani 228,000 katika maghala."Alisema
Waziri mkuu akilikuwa na ultimate solition. Angeachwa huenda kuwa korosho zingesha uzwa.Waziri mkuu alisema amepata makampuni yatayo nunua korosho ,jiwe likasikika likinena tutanunua kwa pesa zetu
Leo wamerudi mule mule
Hongera na wewe kwa kutoa hongera. Ni mwendo wa kupongezana tu!!Hongera kwa Serikali yetu
Msimu bado ila mzimu wa Korosho upo na waliouita wanajuta kwa kitendo chao cha kulifungua sanduku la Pandora!!Korosho zipi mbona msimu bado?
Hiv hayo majina ungeitwa wewe si ungepiga mtyuHizi korosho bado tu hadi leo?? Mwez wa 6 huu kasoro bado tani 228, 000. Jiwe a.k.a stone a.k.a mzee meko a.k.a kifimbo cheza bado yuko ofisini?
Hii sirikali ni sikio la kufa! Wenye akili waliwambia wakaziba masikio. Ona sasa bila aibu wanatangaza wanatangaza kupata wanunuzi kama vile msimu ndiyo unaanza!Msimu bado ila mzimu wa Korosho upo na waliouita wanajuta kwa kitendo chao cha kulifungua sanduku la Pandora!!
😂😂😂unamkumbuka mzee kifimbo chezaHiv hayo majina ungeitwa wewe si ungepiga mtyu