Kampuni la kibeberu linajiandaa na kuleta kesi dhidi ya Serikali ya Tanzania

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
20,326
2,000
kwani ni wangapi huyo kudai,vipi wengine walilipwa.

Hamna namna mnaweza kukwepa kumlipa beberu, hizi taarifa huwa hazipewi watu wa Buza, mkisuasua ndege hunyakuliwa, nyie ndo taifa dunia hii kunyang'anywa ndege mbili kisa madeni ya mabeberu.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
19,866

kwahiyo taarifa unapewa wewe peke yako.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
19,866
2,000
Hehehe nakuona leo umekimbia nyuzi za siasa za Watz kule...... Hivi hizo simu huwa mnazitia chaji pale Lumumba au wapi.
mimi huwa sishindi huko,mimi nazurula jf nzima.

umeme ni uhakika tz,nacharge popote,sio huko kwenu shida tupu.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
20,326
2,000
mimi huwa sishindi huko,mimi nazurula jf nzima.

umeme ni uhakika tz,nacharge popote,sio huko kwenu shida tupu.

Kwa namna huwa unamjibu kila mtu lazima muwe mnapewa power bank hapo Lumumba maana Dar umeme ni kero kila siku
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
19,866
2,000
Kwa namna huwa unamjibu kila mtu lazima muwe mnapewa power bank hapo Lumumba maana Dar umeme ni kero kila siku
hata simu tumepewa,na vocha tunawekewa.

hapo lumumba umepajua wewe mkenya mimi mtz sipajui.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
20,326
2,000
hata simu tumepewa,na vocha tunawekewa.

hapo lumumba umepajua wewe mkenya mimi mtz sipajui.

Hehehe wewe mkali yaani masaa 24 upo, huyo Polepole hakukosea kukuajiria Lumumba, nilikuaga alasiri jana nikaenda shughuli zangu kuja saa nane usiku mida ya wanga nakukuta haujapumzika....hehehe nimekukubali balaa, sasa ungejituma hivyo kwa shughuli za kuzalisha kiuchumi mngekua mbali.
Sasa mumeishia kuahidiana tu 2021 tumefika wapi kwenye lengo la kutengeneza mabilionea 1,000 ambao Rais anataka wapatikane?
 
Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
1,396

wewe unajua hali yangu

yaani mkenya unajisifu kufanya kazi kwa bidii halafu unalala mapema kama dada yako.
 
Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
3,237
2,000
Hehehe wewe mkali yaani masaa 24 upo, huyo Polepole hakukosea kukuajiria Lumumba, nilikuaga alasiri jana nikaenda shughuli zangu kuja saa nane usiku mida ya wanga nakukuta haujapumzika....hehehe nimekukubali balaa, sasa ungejituma hivyo kwa shughuli za kuzalisha kiuchumi mngekua mbali.
Sasa mumeishia kuahidiana tu 2021 tumefika wapi kwenye lengo la kutengeneza mabilionea 1,000 ambao Rais anataka wapatikane?
Siku hizi unaniogopa sasa. Ukiona comments zangu tunaanza kutetemeka.
Mpaka ndani ya ikulu yenu tumo.

Muulize Kagame atakupa stories.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
19,866
2,000
Siku hizi unaniogopa sasa. Ukiona comments zangu tunaanza kutetemeka.
Mpaka ndani ya ikulu yenu tumo.

Muulize Kagame atakupa stories.
hilo hawawezi kujua hawa jua kali wa kibera.

ila uhuru anajua,ndio sababu huwa hana jeuri za kipuuzi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom