Kampuni La Hosting Tafadhali.

Daxxizo

Member
Mar 29, 2017
32
21
Nahitaji Kujua Kampuni Inayofanya Hosting Au Mtu Anaefanya Hosting...naomba Tuchekiane...Au unaweza Acha Maelezo Hapa Hapa Na Kila Kitu Ili Iwasaidie Pia Na Wengine Wanaotafuta Hosting Kwaajili Ya Webs zao.
 
Jaribu hawa mkuu
TYD Innovation Incubator

Moja ya tangazo lao
IMG-20180801-WA0003.jpg
 
Nahitaji Kujua Kampuni Inayofanya Hosting Au Mtu Anaefanya Hosting...naomba Tuchekiane...Au unaweza Acha Maelezo Hapa Hapa Na Kila Kitu Ili Iwasaidie Pia Na Wengine Wanaotafuta Hosting Kwaajili Ya Webs zao.
Karibu, tunafanya web hosting kwa Tsh 75,000 (including domain)
Pia tuna design websites kwa Tsh 95,000 tu

www.tzhost.co.tz

+255767659145
+255787659145
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom