Kampuni Itakayoipa CCM Helcopter hii hapa

CCM hata wakiwa na helicopter kumi,swala ni watawaambja nini wananchi?imeita miaka mingapi wakiwa wanatawala na hali yenyewe ndio hii,maisha bora waliotuahidi hadi sasa bado tunayasubiri.Watu wanahitaji mabadiliko ya utawala ili kuweza kuabdili hali iliyopo sasa.
 
misaaada ya mr ombaomba mmejitahidi kuitumia, manake mmezoea kuiba nyie. Hapa itakuwa baada ya cdm kuwabana
Nani amekwambia kampuni ya kifamilia ya Chadema itachukua nchi? Kwa ukomavu gani walionao? Bado hakijatokea chama cha upinzani cha kuweza kuiongoza hii nchi. Najua ni ngumu kumeza lakini ndio ukweli.
 
Unaongelea madawati? umelala doro. Sasa hivi watu tunaongelea maabara kila shule ya sekondari, wewe upo enzi za Mkapa bado.



Rais Kikwete akikata utepe kuzindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela​

hawa madada wamevaa magauni marefu hadi chini, itakuwa KIKWETE kakasirika sana.
 

hahahahaaa.hahahaaaaa.kweli akili unazo.we nchi imefilisika we unachekelea jk kusafiri.nssf,ppf,lapf na psps wanafilisiwa na jk we unachekelea.huyu jk ni janga na dhaifu.kila akialikwa anaenda hata kictchen party hamuachii salma pekee we unakenyua meno.haahaaaaaa
 

Nakweli katutesa wana inchi kwani kaifrisi nchi yetu kwamisifa ya yakinga Eti,,nae ni prof wa kichina.
 

Ndio maana tunahitaji mabadiliko hao wote ulio wataja ni ccm, na inadhirisha nijnsi gani chama kimeshindwa kutekeleza wajibu wake,hivyo tushirikiane kutafuta fikra mpya.
 
Unawaonea tu CCM! kama serikali yao imeshindwa kununua madawati na kujenga maabara mashuleni wataweza kuanzisha na kumiliki kampuni ya kutengeneza kondom?
ukiona mtu anawakubali ccm juwa ni tahira msitarabu 😡
 
CCM inauwezo wa kuleta chopa aina yoyote iliyopo duniani Kumbuka hilo.
Acha unafiki ww ccm hawana uwezo wa kununua chopa kama CHADEMA mpaka wahongwe na wachina .
 
Ndio maana tunahitaji mabadiliko hao wote ulio wataja ni ccm, na inadhirisha nijnsi gani chama kimeshindwa kutekeleza wajibu wake,hivyo tushirikiane kutafuta fikra mpya.

Kikwete juu zaidi ya wote, tunamchagua Rais kwa jina, hatukichagui chama chake.

Kama unabisha mtazame Shibuda.
 
Ndio maana tunahitaji mabadiliko hao wote ulio wataja ni ccm, na inadhirisha nijnsi gani chama kimeshindwa kutekeleza wajibu wake,hivyo tushirikiane kutafuta fikra mpya.
Khaa wewe una akili kama za kuku. Hiyo CDM kwa miaka 20 imeshindwa hata kujenga ofisi moja. Mabilion ya ruzuku inayopokea kutoka kwenye kodi zetu yameishia kwenye kukopeshana na kujilipa madeni. Usiwe mjinga kusubiri ufanyiwe kila kitu na serikali. Chapa kazi mwanangu unazeeka sasa
 

Juzi tu Mkaguzi Mkuu wa Serikali amesema vitabu vyao vya mahesabu vina walakini, hawa ndio uwape BOT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…