Anamtesa nani zaidi ya wale ndugu zako wananchi mafukara vijijini wasio na maji safi, huduma thabiti za afya, madawati ya kukalia, miundo mbinu imara ya barabara?
Anamtesa nani?
CCM inauwezo wa kuleta chopa aina yoyote iliyopo duniani Kumbuka hilo.
CHINA POLY GROUP CORP. ni kampuni ya kichina inayomilikiwa na serikali ya CHINA, Kampuni hii pamoja na mambo mengine inajishughulisha na utengenezaji wa vifaa vya kijeshi, vile vile kampuni hii kama nilivyosema kuwa pamoja na utengenezaji wa vifaa vya kijeshi vile vile ndiyo iliyopewa tender ya ujenzi wa PHASE 4 hapa KINYEREZI-DAR ES SALAAM-TANZANIA.
Kampuni hii itatoa hizo chopa kwa SERIKALI ila zitafanya kazi za CCM hii ni baada ya deal kugundulika mapema ambapo DR. Slaa ( Mungu Amlinde Sana ) alitoboa siri mapema.
Watende wao wakitenda wenzao huwa mwao.
Pia kumbuka fedha za Escrow zinaweza kufanya zaidi ya hizo chopa!
Nyerere miaka 24, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, jumla miaka 44.
Walifanya nini kwenye afya?
Haya hapa mambo ya Kikwete kwenye afya.
inanikumbusha kiingereza cha jana cha huyo dhaifu huko china, hivi kumbe kiingereza cha JK ni majanga, maana alikuwa anasema tutututututututu, the thethe the fofoma president ofofofof Tanzania, duh hadi ilibidi nizime TV
Source ITV Habari
Anamtesa nani zaidi ya wale ndugu zako wananchi mafukara vijijini wasio na maji safi, huduma thabiti za afya, madawati ya kukalia, miundo mbinu imara ya barabara?
Anamtesa nani?
Kwani JK ni mwingereza?
Nyerere miaka 24,
Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, jumla miaka 44.
Walipeleka maji safi vijiji vipi na kwa mpango upi?
Hii ya Kikwete ya mwaka huu tu:
Serikali imetenga zaidi ya bilioni 270 kwa ajili ya miradi ya Maji
vijijini kwa kipindi cha mwaka 2014/2015 chini ya mpango wa utekelezaji
matokeo makubwa sasa ambapo vijiji 1,239 vitanufaika na huduma hiyo.
Source:
BILION
236 KUTEKELEZA MIRADI YA MAJI VIJIJINI | Magazeti ya leo| Tanzania News
|Tanzania Today
Kwa hiyo hizi zinazotajwa tajwa, imelipia CCM? Kwa hela yake yenyewe?
why serikal yetu inahofia kufanya biashara???wenzetu wanaweza ati
DR SLAA AMEFUNUA MAMBO ya siri sana , mpaka leo hakuna hata kimbelembele yeyote aliyekanusha !
Gas ya Tanzania bado haijaanza kuuzwa nje ya nchi, kumbuka hilo. Na itapofikia wakati wake wa kuwa na "production" ya kuweza kuuzwa nje, itauzwa tu. Maandalizi yanakwenda vizuri sana.
Nakushangaa unauliza kuhusu helicopter ambazo hata watu binafsi wanazo, tena nyingi tu.
Haya hujayaona na yapo zamani?:
Hoja yenye utata ni kwanini zawadi za serikali zichakachuliwe na kupewa ccm ?