Kampuni gani unaikubali kwa kutoa movies kali kati ya hizi?

Fox katengeneza muvi gani aliwatani
Fox ni a little complicated company maana ndani yake kuna sub division kibao za kampuni za movie!.
1. Fox 21 Television Studios: Hawa wao ndio series kama Tyrant, Salem, Homeland, Legends na Witches of East End na The chi.
2. 20th Century Fox Television: Hawa wao wana The X-files, Prison Break, Bones, The Unit, The Visitor, 24, Empire, The Gifted na Minority Report.
5. 20th Century Fox Animation: Hapa kuna Beauty and the Beast , Aladdin, The Lion King, Epic, Rio, Ice Age.
6. Fox Searchlight Pictures: Hawa ndio wametengeneza movie kama 12 Years a Slave, The Shape of Water, The Gods Must Be Crazy, 28 Days Later, The Hills Have Eyes na The Last King of Scotland.
7. Fox Digital Entertainment: Hawa wana Predator, X-Men, Family Guy.
 
H

Hao wote wako chini ya kampuni moja. Ni kama Sony pia ana subsidiary zake kama Columbia Pictures! Hata Marvel pia alikuwaga chini ya Warner Bros kipindi flani kama sikosei baadae ndo akajitegemea.
 
Yeah lakini project tofauti!..
Marvel kabla haijawa MCU ilipokuwa just Marvel Comic iliwakodisha makampuni kibao characters wake!. Baada ya MCU kuundwa ndio imeanza kuzirudisha zinazowezekana huku nyingine ikizikodi ingawa ni zao!.
Spiderman, Hulk na X-men special Logan ni character wa Marvel Comic walokodishwa kwa Sony lakini hadi leo Hulk hawezi tolewa solo movie na MCU hata Spiderman solo movie lazima Sony wawepo!.
Ni complicated stuff kidogo!.
 
Fox ni a little complicated company maana ndani yake kuna sub division kibao za kampuni za movie!.
1. Fox 21 Television Studios: Hawa wao ndio series kama Tyrant, Salem, Homeland, Legends na Witches of East End na The chi.
2. 20th Century Fox Television: Hawa wao wana The X-files, Prison Break, Bones, The Unit, The Visitor, 24, Empire, The Gifted na Minority Report.
5. 20th Century Fox Animation: Hapa kuna Beauty and the Beast , Aladdin, The Lion King, Epic, Rio, Ice Age.
6. Fox Searchlight Pictures: Hawa ndio wametengeneza movie kama 12 Years a Slave, The Shape of Water, The Gods Must Be Crazy, 28 Days Later, The Hills Have Eyes na The Last King of Scotland.
7. Fox Digital Entertainment: Hawa wana Predator, X-Men, Family Guy.
Thanks
 
ha ha ha ha ha
mnaosema Rango it's bets animation ever mtakuwa mnatania
afu hamjaona animation hebu waulizeni wanaofuatilia wata waambia

Rango haina mashika yoyote Nashangaa eti COCO inafunikwa na Rango daaaa aisee hivyo vichekesho kwakweli sasa kaitafute nyingine inaitwa Book Of Life ya hao hao disney mahadhi ya kimexico kama COCO ama kaitafute the croods ama kaitafute KUBO
au kaitafute EPIC au kaitafute Monster University
Ukitaka sasa uone kuwa RANGO yakitoto kabisaaa Katufite the nut Job au kaicheki the Croods

Hizo ni simple animation ambazo kwakuipa credit ya Rango naona huwa haufuatilii kabisaa animation sasa hizo ni simple ambazo karibu watu kibao wameziona then ndio utambe na hiyo rango

Kuna moja Inaitwa LUCAS yaani jamaa alimwagilia maua yapo kwenye kichuguu cha mchwa we si kadogo usiku kamelala mchwa wakaja kumkamata akajibu mashitaka kanini kaleta mafuriko then wakati huo huo kuna watu wanakuja kupiga dawa za wadudu means dogo atakufa pamoja na wadudu maana kawa tiny tayari ha ha ha a
jamaa sasa hiyo Rango na Lucas ndio naona hadithi za watoto kabisaaaaaaaaa,,,
Hebu acha utani tena usifananishe COCO na Rango
Aha ile ilikuwa noma halafu usafiri wao ni nigu
 
boss nipe jina la hyo animation y kichuguu mana kila nkiandika lucas hainiletei kabsa km unavyosema..
 
Filamu za Jerusalem Film Productions nao wanatoa zimeenda shule lakini, ingawa tatizo lipo kwenye ending!..:)
 
Back
Top Bottom