Kampuni gani unaikubali kwa kutoa movies kali kati ya hizi?

Nichangie nini sasa mate :D, wakati ushaua kila kitu hapa!!. Kiukweli nisingekuelewa ungewasahau Paramount Pictures.
Ila umeisahau na BAD ROBOT hawa jamaa nawaelewa sana kwenye Star Trek na Mission Impossible series.
Halafu ule uzi wetu wa movie ni upi!?..
Wait a little bit..
 
Movies nyingi zenye bajeti kubwa duniani utakuta zimehusisha kampuni si chini ya tatu kutengeneza movie hiyo. Kila kampuni ina uwezo wake tofauti na mwingine. Mfano Marvel ni mmoja wa wakali katika CGI hivyo basi Kampuni yoyote inaweza kumu associate Marvel ili awasaidie kwenye upande wa CGI. Mfano muvi ya kihindi Krrish 3 au American X-Men. Humo ndani Marvel ni kama kashirikishwa tuu atie ufundi wake. Hivi inakuwa Main company mf. Franc The Great Films alafu In Association with Marvel Studios. Hapo muvi lazma iwe tamu.
 
Nichangie nini sasa mate :D, wakati ushaua kila kitu hapa!!. Kiukweli nisingekuelewa ungewasahau Paramount Pictures.
Ila umeisahau na BAD ROBOT COMPANY hawa jamaa nawaelewa sana kwenye Star Trek na Mission Impossible series.
Halafu ule uzi wetu wa movie ni upi!?..
Amesahau pia MGM. Kama ulitazamaga Tom & Jerry ulipokuwa kid uwezi isahau.
 
Movies nyingi zenye bajeti kubwa duniani utakuta zimehusisha kampuni si chini ya tatu kutengeneza movie hiyo. Kila kampuni ina uwezo wake tofauti na mwingine. Mfano Marvel ni mmoja wa wakali katika CGI hivyo basi Kampuni yoyote inaweza kumu associate Marvel ili awasaidie kwenye upande wa CGI. Mfano muvi ya kihindi Krrish 3 au American X-Men. Humo ndani Marvel ni kama kashirikishwa tuu atie ufundi wake. Hivi inakuwa Main company mf. Franc The Great Films alafu In Association with Marvel Studios. Hapo muvi lazma iwe tamu.
Sure ndio muvi kali za siku hizi zilivyo. Lazima kampuni zaid ya moja ihusike
 
ha ha ha ha ha
mnaosema Rango it's bets animation ever mtakuwa mnatania
afu hamjaona animation hebu waulizeni wanaofuatilia wata waambia

Rango haina mashika yoyote Nashangaa eti COCO inafunikwa na Rango daaaa aisee hivyo vichekesho kwakweli sasa kaitafute nyingine inaitwa Book Of Life ya hao hao disney mahadhi ya kimexico kama COCO ama kaitafute the croods ama kaitafute KUBO
au kaitafute EPIC au kaitafute Monster University
Ukitaka sasa uone kuwa RANGO yakitoto kabisaaa Katufite the nut Job au kaicheki the Croods

Hizo ni simple animation ambazo kwakuipa credit ya Rango naona huwa haufuatilii kabisaa animation sasa hizo ni simple ambazo karibu watu kibao wameziona then ndio utambe na hiyo rango

Kuna moja Inaitwa LUCAS yaani jamaa alimwagilia maua yapo kwenye kichuguu cha mchwa we si kadogo usiku kamelala mchwa wakaja kumkamata akajibu mashitaka kanini kaleta mafuriko then wakati huo huo kuna watu wanakuja kupiga dawa za wadudu means dogo atakufa pamoja na wadudu maana kawa tiny tayari ha ha ha a
jamaa sasa hiyo Rango na Lucas ndio naona hadithi za watoto kabisaaaaaaaaa,,,
Hebu acha utani tena usifananishe COCO na Rango
Mkuu umeicheki na Bad Cat? Balaa sana nayo,itafute
 
Back
Top Bottom