Kampuni Binafsi ya Upelelezi Ya kwanza kutokea Africa

Nadhani tu heading kusema ya kwanza Africa ndiyo siyo sahihi ila mna lengo zuri
 
Nimekuelewa ndugu, it will help, ila mh pia itavuruga mahusiano, devorce rate Europe and other developed countries ni kubwa kwa sababu ya advancement ya vitu kama hivi. But anyway, is good.
Asante Mkuu Karibu sana
 
Fanya uchunguzi kwanza juu ya uwepo wa makampuni ya upelelezi Africa.
Afadhali ata ungesema kampuni bora!!!
 
Lemme tell you something guys!!! Hizi issue sio common huku kwetu so, kama mnahitaji kukubalika kirahisi; start with pro bono projects... there're a lot of them outta there!!

Mkifanya 2 or 3 pro bono projects with your own resources na zikatoa positive results; trust me, mkishaziuza hizo projects kwenye media, kitakachofuata hapo ni series of deals!!

Ongezeni na espionage product lakini ipeni jina lingine manake espionage ni illegal.

I hope sio scam!!!
Mfano kama ipi mkuu tupe ushauri tulifanyie kazi
 
Wazo zuri lakini mmeweka vitu vingi visivyo na msingi, mngejikita kwenye sehemu moja ingeua vizuri zaidi, kama uhakiki wa umiliki maeneo au nyumba zinazouzwa.
Wewe ukiwa na shida hii mwenzio ana ile. Acha wafanye chochote ili mradi wanakiweza na hawavunji sheria za nchi.
 
sheria gani inawapa power ya ku investigate mtu? nikikataa kupelelezwa mtanifanya nini kwamfano? do you have powers to arrest and retain?
 
The company possess various professionals, including, professional investigators who are retired police officers, experienced lawyers, medical doctors, forensic experts, engineers, architects, auditors, psychologists and counselors in case of all family and social issues.
The company objectives are:
1. To investigate on academic credentials and personal behaviors on individuals before and after employment (To conduct a background check on prospective employees and all matters that requires investigations to the existing employees)
2. Investigate on financial status of mortgagees, matrimonial issues and other securities.
3. Investigate on hire commercial and business malpractices from individuals and corporate bodies, both locally and internationally, as well as issues related to cybercrimes.
4. Investigate on abuse of human rights, terrorism and illegal immigrants.
5. Investigate the use of trademarks, patents rights and copyrights and give a report.
6. Investigate on investors both locally and internationally.
7. To conduct investigations in social, family and marital issues,
8. Investigate before buying land, as to whether the seller has a legal title in the land, and after buying the said land.
9. Investigate on whether the procedure to acquire birth certificate was properly followed.
10. To investigate on the abuse of employees.

Spotlight is a Consultancy Company
We have all the professionals.
1. Lawyers, in case it is a legal issue,
2. Auditors
3. Engineers for the Construction checking
4. Architectures
5. Expert Investigators
6. Doctors for medical investigation
Management Team
1. Kelanga, D.M. Managing Director, LL.M (Hons). In Corporate law.
2. Mauki, C. Director, PhD holder in Social Relationship and Counseling Psychology
3. Kaiza, R. Director, LL.B (Hons).
4. Fadhili L, Company secretary, LL.B (Hons) Advocate

Physical Address:
P. O. Box 10739
Dar es Salaam
Onset House,
Plot No. 53
Mbezi Beach - Jogoo
Mkuu, JF imejaa wakatishaji tamaa na wanaobeza mambo ya watu. Kuwa mvumilivu tu. Swali la msingi hapa mna watu walio qualify kufanya majukumu hayo?
 
Hongereni sana, mmefanya kitu kizuri ambacho nilikuwa nakifikiria kila mara kama kinawezekana Tanzania. Napenda sana Uchunguzi/Upelelezi Bora wa mambo... ni very interesting work ukiwa commited though wakati mwingine inahatarisha maisha, ni lazima uwe smart.
 
Hiyo kampuni inaitwaje?
Imesajiliwa Tanzania?
Ofisi zao ziko wapi?
Imeanzishwa lini?
Mnadili na Upelelezi ngazi ipi?

Yaani vimaelezo vyako vitatu unaona umemaliza? Alafu utegemee kupata wateja?
Kasoma science huyo. Usitegemee maelezo marefu
 
Hongereni sana, mmefanya kitu kizuri ambacho nilikuwa nakifikiria kila mara kama kinawezekana Tanzania. Napenda sana Uchunguzi/Upelelezi Bora wa mambo... ni very interesting work ukiwa commited though wakati mwingine inahatarisha maisha, ni lazima uwe smart.
Kuna msemo unasema ukitaka kutembea usiogope kujikwa Asante Mkuu
 
sheria gani inawapa power ya ku investigate mtu? nikikataa kupelelezwa mtanifanya nini kwamfano? do you have powers to arrest and retain?
Tumia muda kutafakali na kufikilia polepole
 
Back
Top Bottom