The Certified
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 910
- 774
- Thread starter
- #21
Karibu ofisini mkuu Mbezi beach jogoo Onset house plot no: 53Nahitaji upelelezi wa elimu na vyeti vyote vya Daudi Bashite.
Utanichaji bei gani?
Karibu ofisini mkuu Mbezi beach jogoo Onset house plot no: 53Nahitaji upelelezi wa elimu na vyeti vyote vya Daudi Bashite.
Utanichaji bei gani?
Sijakuelewa mkuuUsicheze na kazi za wenyewe. Umewahi kusikia Roho inalia? Au ndiyo comedy!!
Kwa nature ya hiyo kazi lazima kampuni iwe credible...inaweza ikaleta balaa kama mapaa ndio wamiliki. Wanapora kwa mbele kwa nyuma wanajifanya wanachunguza.Hiyo kampuni inaitwaje?
Imesajiliwa Tanzania?
Ofisi zao ziko wapi?
Imeanzishwa lini?
Mnadili na Upelelezi ngazi ipi?
Yaani vimaelezo vyako vitatu unaona umemaliza? Alafu utegemee kupata wateja?
Kupeleleza kitu chochote unachohitaji kutokana na mahitaji yako.
Jina: Spotlight investgation
ofisi: zipo Onset House plot no: 53 Mbezi beach Jogoo Dar es salaam
imeanza hivi karibu
Vitu tunavyofanya: 1.Kupeleleza kwa kina eneo unalotaka kujenga makazi/Biashara ili kuepuka kuvunjiwa na madhara mengine kama migogoro ya ardhi n.k
2.Kuchunguza kitu unachotaka kununua kama hakina shida yoyote mfano Gari nyumba na mengine mengi
3.kumchunguza unaetaka kumuoa/kuolewa na taarifa zake za kina tangu ana zaliwa
4.Kumpata na kumfahamu mtu aliekufanyia mabaya au kukutapeli
5.kwenye mahusiano pia alikadhalika na mengine mengi unayohitaji
Karibu Ofisini Mkuu Onset House Mbezi beach plot no 53 Jogoo Dar es salaam[emoji115]Mimi naombeni mnisaidie kumchunguza Miss Natafuta jamani![emoji1]
Asante kwa Ushauri Mkuu tatizo sio mimi tatizo ni Vitendea kazi kukaata kupandisha picha ila maelezo nadhani umepatamkuu napata mashaka kidogo na huo utendaji wenu ikiwa tu wewe uliyepewa jukumu la plomo hiyo kampuni ku apload tu ka picha imekua mtihani.lakini ni mwanzo mzuri hongereni.
nadhani mkianza kujitangaza kwa kutusaidia kumtafuta ndugu yetu ben saa nane itawabeba sanaaa
Ukitupa tu maelezo machache sisi tunafanya kila kitu mkuu haijalishi amekufa au yuko hai ila maelezo yako ndio yatatupa picha tunaanzia wapi Karibuiyo namba 3 nzuri sana
nitataka nifahamu wahuni wangapi wamepita si mna weza hii kitu
Hatuna utata kwenye kazi zetu mkuu wala hatuko nyuma wala mbele ya mtu ukituamini tunafanya kama unavyotaka hii ni kampuni ya watanzania wazalendo kabisa na inatambulika kiserikali nani njia ya kuongeza ubunifu wa fikra zetu kuongeza ajira na kutoa dhana potofuKwa nature ya hiyo kazi lazima kampuni iwe credible...inaweza ikaleta balaa kama mapaa ndio wamiliki. Wanapora kwa mbele kwa nyuma wanajifanya wanachunguza.
[emoji6] Asante sana ila yote hayo yana umuhimu wake tumeona kuna haja hapo ila sio majirani ila ukihitaji utapatiwa huduma hiyo piaToba!!! Mnapeleleza "mchumba" taarifa zake za kina toka amezaliwa? Haya bwana. Hizo taarifa za mashamba, nyumba na magari na ujirani zitatusaidia sana. Hizo za kufatilia mabwana na mabibi natabiri majanga ila ndo zitawaletea wateja wengi. Kila la heri lakini.
Imeshafika mkuu karibu sanaNlikuwa nasubiria sana kampuni kama hii[emoji53]
Ikitokea tunafanya mkuu tupe tender uone kazi[emoji41]OK tutafutie Ben SAA nane
Haya sema ni sh ngapi kazi hiyo na itachukua muda gani
Weka dauIkitokea tunafanya mkuu tupe tender uone kazi[emoji41]
Bei inatokana na kazi husika mkuu kwa hiyo ukifika ofisini utatoa maelezo ya kina na hapo ndio tutajua ni kiasi gani utalipa.Weka dau
Ni sh ngapi?
Hapa ndo mezani kwenyeweIkitokea tunafanya mkuu tupe tender uone kazi[emoji41]