Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Dongo la nini jamani wakati mie toka 2013 niwekwa ndani.Kwani mshana haujui?
Kwanini umeileta hapa picha yangu????
Mii nisaidie kitu kimoja tu hapo: hivi hapo unapambwa ama unapamba?
Sura kama JINI!!
Hapo nimerembwa ni siku ya harusi
Simtaki rudi kwenu
Sura kama JINI!!
Honey Faith ukiweza fika huku tasavaliHapo lazima jamaa amsahau mai waifu wake...maana duh!....
Mh wapambaji amewapata.
Honey Faith ana asavaliHapo je?