Kampeni za Ubunge ZNZ zaibua mengi, Maalim 'amuumbua' Kinana, baba amkana mwana, Lowassa na mahaba

Rais ni mwenyekiti wa ccm?? Kumbe march alikiwa tayari mwenyekiti wa ccm??Haaahhahaaa

afu hivi kumbe ile mikutano huwa anaenda kma mwenyekiti wa chama sio rais??
Kwahyo kwa maneno marahisi mwenyekiti wa ccm ni sawa kufanya siasa ila wa cuf au act ni kosa?? Haahaaaa ccm youths get a life and improve ur IQ coz ur so annoying with ur useless ideas and motions
Hayo mambo hayakwepeki unapoteza muda tu rais wa ccm ni ccm anafanya ziara ya serikali lkn hawezi kukisahau chama. Hayo unayotaka haiwezekani mwisho wakr utasema asiingie ikulu na shati la ccm au asiingie na mlinzi wa serikali ndani ya mikutano ya ccm. Haiwezekani.

Mikutano yake sio ya ccm wala maandamano kama wanayotaka wenyeviti wa vyama vingine watekeleze ukuta kata funua n.k
 
Rais ni mwenyekiti wa ccm lazima ccm wawepo najua vijembe vipo pande zote lkn huwezi ukazilinganisha pande hizi mbili kwa vijembe na matusi upinzani uko juu kwa hilo. Ccm hawawezi kukaa sahani moja na wapinzani wajinga wanaokimbilia matusi na kejeli kama ngazi ya kupandia kisiasa unaona zitto kabwe anatembelea kagera kuwaambia wanakagera wametukanwa yaani ndio ajenda iliyompeleka kagera sasa hao wapinzani au mufilisi. Michakato majimboni ukaongee na wavuta bangi wa nini? Hata nyerere alisema hawezi kuiacha nchi mikononi mwa mbwa akimaanisha wapinzani. You guys are still babies on politics just grow up a little bit you will meet us somewhere on the way to the top.
Haahaaa mchakato majimboni wavuta bangu eti eeh?? Kwa hyo muendeshaji kipindi shabaan kisu ambaye ni CCM damu naye ni mvuta bangi?? Hao unaowaita wavuta bangi waloshiriki na walisababisha ccm ianguke vibaya sana 2010 na ukawa mwanzo wa ccm kukataliwa hapa Tanzania then unawaita wavuta bangi??
Unakumbula siku hawa ng'umbi kapambanishwa na mnyika?? Haahaaaaa hadi akaishiwa hoja akaanza kutishia watu polisi kisa maswali mazito je nani alionekana mvuta bangi???

Una uhakika zitto kilichompeleka ni matusi ya magufuli au ni uchaguzi mdogo kule muleba?? Hivo hotuba yake yote uliiskia?? Hvi IQ yako utalinganisha na ya Zitto?? Be serious and objective sio kutetea kila kitu cha ccm
 
CUF huku kusini wanadai ni chama cha kiislamu, viongozi CUF njooni huku mtoe semina maana hali ikiendelea hivi chama kitalala mauti hivi karibuni, nivema kutofautisha siasa na dini
 
Hayo mambo hayakwepeki unapoteza muda tu rais wa ccm ni ccm anafanya ziara ya serikali lkn hawezi kukisahau chama. Hayo unayotaka haiwezekani mwisho wakr utasema asiingie ikulu na shati la ccm au asiingie na mlinzi wa serikali ndani ya mikutano ya ccm. Haiwezekani.

Mikutano yake sio ya ccm wala maandamano kama wanayotaka wenyeviti wa vyama vingine watekeleze ukuta kata funua n.k
Hivi hoja yangu umeelewa? Nmeuliza kwanni ccm magufuli hta kabla hajawa mwneyekiti kule kinyerezi aliwapa nafasi wabunge wa ccm na wenteviti sijui wa wilaya kupiga vijembe pale wao mbona waliruhusiwa??
Hivi msigwa akimualika mnyika iringa mjini ni kosa ila suleiman jaffo ziarani akafanya mikutano tanga na wabunge kibao na wenyeviti wa ccm wilaya ila hyo ni sawa??
Kma wamekataza mikutano ya kichama then wasiruhusiwe kualika wenyeviti wa kutoka wilaya zingine na wabunge wa majimbo kibao hapo hamna fair ground na ndio nachopigia kelele
 
Mikutano ya ccm ina nidhamu kuliko mikutano ya nyumbu vutugu tupu ccm hata wawe wenyeviti kumi hawamfikii mwenyekiti mmoja wa nyumbu kwa vurugu
 
Hiyo taarifa ya butiku na salim kwanini wasiitoe hadharani tuongelee vilivyopo hadharani tusiongelee tetesi tafadhali.

Rasimu ya warioba haijakataliwa imejadiliwa ikapatikana katiba inayopendekezwa kuna vipengele tu vilivyoondolewa kupitia mjadala wa kisheria iliyopitishwa bungeni.
Waitoe mara ngapi?? Katafute interview yake na DW sio kutetea tu hapa eti tetesi wakati kafunguka ya moyoni....

afu hizi sio tetesi ni ukweli ambao watawala wanajaribu kuuficha sana ila iko siku utawekwa wazi tu maana hta kashfa ya EPA mlikataa pia escrow hadi mkatishia kuwatimua wabunge wa upinzani ila mwisho wa siku mnaumbukaga nafkiri uzuri mngeruhusu uchaguzi upingwe mahakamani naona hapo ndio tungejua mbivu na mbichi.
Sasa kma VIPENGELE VILIBADILISHWA sasa sitta alitoa wapi namlaka ya kuanza kukusanya maoni ya makundi tofauti tofauti wakati watu walishatoa maoni kupitia kwa TMK ya kina polepole?? Baadae mkabadilisha hadi mfumo wa tume huru yaani ikawa sio huru tena actually mambo yote muhim ikiwemo miiko mkaifuta nyie wahuni then mnasema eti VIPENGLE VICHACHE?? hata haya hamna mkasusiwa bunge na katiba yenu imekwama mpaka leo sasa sijui mmevuna nni sasa mabavu mengi hakuna lolote
 
Mikutano ya ccm ina nidhamu kuliko mikutano ya nyumbu vutugu tupu ccm hata wawe wenyeviti kumi hawamfikii mwenyekiti mmoja wa nyumbu kwa vurugu
Mikutano ya ccm ina nidhamu??? Njoo huku kwenye chaguzi ndogo uskie madongo yao kazi kujadili afya ya lowassa mkutano mzima na vijembe kwa maalim wakati kata hii ina matatizo mengi kweli afu unasema wana nidhamu???

Kumbuka mkutano wa msukuma na maguful kule geita?? Unakumbuka mkutano wa lusinde kule arumeru?? Hayo ndo unaita maadili?? Embu kuwa serious bro u gotta be kiddin me
 
Hebu tuanze kufikiri kama hekaya za abunuasi - kufikirika: Je, huyo mtoto wake akishinda itakuwaje?

Ccm Zanzibar huwa hawashindi, wanapora
. Mzee amelijua hilo
Mwenzenu kafa LKN huko kwao Kasulu hata laki 5 za jeneza watu wamechanga na CCM haijatoa hata senti!
Kada Kalihaso na kuisadia sana CCM kwa kumponda Lowassa kafariki na ni familia yake tu imehangaikia mazishi kwa michango ya watu
 
Mtaongea sana ikulu itabakia kuwa ndoto kuingia na ikulu ile hawezi fisadi papa mchafu kama lowassa kuingia.

Nyerere aliwaita mbwa wapinzani kwa maana ya kuwapa nchi kwenye ngazi ya urais sio ubunge na alitamka hayo maneno alipohojiwa na bbc 1995

Nyerere aliwashauri mrema na marando wagombee majimboni kwao kwani wanakubalika badala ya kupoteza muda kwenye urais.

Nyerere alitoa maneno mengi ya kuikosoa ccm ili kuirudisha kwenye mstari kwa sab aliiona kabisa ilikuwa inamezwa na mafisadi wakiongozwa na lowassa wakati huo.

Aliwahi kusema Ccm sio mama yangu.
Ina nyufa
Viongozi wake wajinga
Amewatungia vitabu n.k
Lkn hakuwa na namna nyingine ya kuiweka kwenye mstari zaidi ya kuiponda.

Haahaaa kwa hiyo fisadi lowassa hawezi ingia ila fisadi kikwete aliweza kuingia?? Haahaaa kwa ahyo yule rais mstaafu aliyejimilikisha kiwira naye msafi?? Hici ccm nani kawamaliza tembo, nani kawamaliza vifaru,nanai anauza madawa ya kulevya??? Mbona ikulu ameingia?? Au nyie ufisadi ni lowasa?? Embu usituchefue kijana leta hoja sio vijembe....

Naona unalazimisha DOG wawe wapinzani its ok ingawa kuna hotuba kaskilize iliwekwa na ITV siku ya alhamisi au jumatano iliopita anasema "kwa kuwa tumeingia kwenye mfumo wa vyama vingi basi kuna uwezekano kitatokea chama kingine kikashinda uchaguzi na kutengeneza serikali'' sasa hapo huoni alijua kuwa upinzani unaweza shinda na akaheshim hilo??

But wateva the case nyerere haamui nani awe rais wa nchi hii ndio maana kuna uchaguzi na kampeni na mwisho wa siku waamuzi ni watanzania sio ccm au chadema so spendi hii kauli ya kusema CCM HATUWEZI KURUHUSU IKULU ICHUKULIWE NA WAPINZANI yanini sasa kuweka uchaguzi??? Ukiweka uchaguzi ina maana unaweza chaguliwa wee au mwingine sasa kma hutaki mwingine achaguliwe unaweka uchaguzi wa nni si muweke kura ya hapana na ndio tujue kimoja!
 
Seif anashangaa Kinana hakujua Mabadiliko ya Halmashauri ya CCM lakin yeye hajishangai kwa kutojua kuwa The Professor alikuwa anarudi kwny Uenykt wake Taifa CUF!

Lowassa anayatambua Matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Muungano kutokea Zanzibar kwa kuwa tu kule aliongoza lakin akitajiwa Matokeo ya Maeneo aliyokataliwa anasema Tume si huru sasa sijui Yale ya Zanzibar yalisimamiwa na Tume huru?

Kama Seif alijua mpaka taarifa za ndani kutokea Ikulu kuwa Kinana hakushirikishwa kwny Mabadiliko ndani ya Chama kwanini hakujua kuwa Mwenyekiti wake anarudi kwny Himaya ya Uenykt?

Lowassa asipeleke Fitna Zanzibar, Kama kudai kuibiwa kura wote wanadai wameibiwa kwanini Lowassa yeye anamtambua Dr. Magufuli lakin anamchochea Mwenzie kutomtambua Shein?
We pohamba nan amekwmbia kua lowasa ana.mtmbua magufur hebu acha upotoshaj ww
 
Mwenzenu Ben saanane katekwa Mwenykt wenu kageuza Mradi wa kuingiza Fedha kwa kutengeneza Tishert na hataki watu wazungumzie kuachiwa kwake huru eti tutawakera watekaji watamuua Kumbe lengo auze Tishert zaid.

Dogo anabinywa Mbupu huko cha kushangaza Mwenkt anatengeneza pesa za Tishert za Bring back Ben

Lema ananyea Sadolin Mwezi wa Pili huu nilitegemea Ziara ya Majaliwa ingesusiwa na Wabunge, Madiwani na Meya lakin walishiriki na kina Nassari kuipongeza Serikal kwa utendaji wake
"Katekwa?", Polisi hebu changamkieni chanzo kingine hiki cha taarifa.
 
Seif anashangaa Kinana hakujua Mabadiliko ya Halmashauri ya CCM lakin yeye hajishangai kwa kutojua kuwa The Professor alikuwa anarudi kwny Uenykt wake Taifa CUF!

Lowassa anayatambua Matokeo ya Uchaguzi wa Rais wa Muungano kutokea Zanzibar kwa kuwa tu kule aliongoza lakin akitajiwa Matokeo ya Maeneo aliyokataliwa anasema Tume si huru sasa sijui Yale ya Zanzibar yalisimamiwa na Tume huru?

Kama Seif alijua mpaka taarifa za ndani kutokea Ikulu kuwa Kinana hakushirikishwa kwny Mabadiliko ndani ya Chama kwanini hakujua kuwa Mwenyekiti wake anarudi kwny Himaya ya Uenykt?

Lowassa asipeleke Fitna Zanzibar, Kama kudai kuibiwa kura wote wanadai wameibiwa kwanini Lowassa yeye anamtambua Dr. Magufuli lakin anamchochea Mwenzie kutomtambua Shein?

Hivi yule aliyeenda kusema mtu asiyempa mkono hawezi mlipa posho, au mindevu ya seif imefanya nn sijui, au asingemvumilia seif hata dakika 5 , na Lowasa yupi mchochezi?
 
Back
Top Bottom