Kampeni za Ubunge ZNZ zaibua mengi, Maalim 'amuumbua' Kinana, baba amkana mwana, Lowassa na mahaba

Hilo la Zanzibar ni somo kwa watawala wetu wanaopenda kung'ang'ania madaraka hata pale wasipotakiwa,.....
Ni bora walioko madarakani wakaanza kusoma alama za nyakati.....
Wakati utawatupa mkono ghafla.
 
Tanzania sio burkina faso hakuna kibaka anaweza kuingia ikulu. Mtaishia tutamwaga damu ooh mara tutafanya nchi isitawalike. Mtaishia hivyo hivyo tu
Sawa mku TUTAISHIA HIVO HIVO.... time will tell si mnaonaga mtaendelea kuiba tu kura wananchi wanacheka cheka tu haya baba endeleeni tu kuiba coz hatuwezi fanya lolote
 
Huwezi ukafananisha mikutano ya chadema/ukawa na ziara za viongozi wa serikali lkn wenye kofia za vyama vyao hata siku moja mikutano ya upinzani hamasa inaanzia kwenye mitandao ya kijamii n.k kwa lengo la kujenga chama na mkifanya mikutano yenyewe ni kejeli tupu mwanzo mwisho. Huwezi kabisa ukafananisha mikutano ya serikali hata kama wabunge wote wa ccm wangehudhuria upinzani ni vurugu tu viroba mihemko hasira za kukosa nchi n.k mkutano mmoja wa upinzani uliohamasishwa kama mlivyozoea na kuhudhuriwa na mbunge mmoja au wawili tu utakuwa na vurugu kuliko mikutano kumi ya ccm. Mna maneno ya kijinga yasiyokuwa ya kimaendeleo mtasema ndege mbovu za panga boi hazikimbii sawa na kibajaji zilimwagiwa maji wakati wa mapokezi sab zingeshika moto sab zimesafiri mwendo mrefu mara hata bus la shabiby zuri kuliko pangaboi. Badala ya kuongelea shida za wananchi na utatuzi wake. Wenyewe siasa zenu za chuki na majitaka zimeifanya intelligence ione hamfai.
Mkuu kejeli kwenye mikutano ya ccm hakuna hivi kati ya lwakatare ma magufuli nani alipiga vijembe?? Hivi ccm mnashida gani lakini kwenye kujenga hoja mbona huwa mnajitoa ufaham kiasi hiki?? Eti mikutano ya chadema vijembe ila CCM hamnaga...... hivi ule mkutano wa ccm pale kinyerezi siku ya magufuli kuzindua infrastructure za umeme nani alikuwa kwenye mkutano kma sio mlijaza maccm sijui mwneyekiti wa ccm wilaya jimbo mkoa n.k kwa kisingizio cha ZIARA YA RAIS.... afu mwisho wa siku mkaishia kupiga vijembe wapinzani ambao ndio wanaliongoza jiji la dar sasa pale mbona mlitawala nyie mkutano ila mbona bado vijembe tuliskia??? Asa kwanni uwatetee ccm wakati vijembe kwao ni vingi vya kuwakejeli wapinzania afu sisi tukitaka mikutano mseme tuna maneno mabaya??? R u serious??
Hivi wwe ndo mjenga hoja wa ccm humu jf?? Dah no wondee ccm ilizuia wagombea wasiende kwenye kipindi cha mchakato majimboni coz of suh people like u hoja nyepesi afu ndio frontline ya ccm
 
Nimempenda huyo baba wa mgombea. Anaijua dhamira yake na hajaidhurumu.

Nawaombea wazanzibar (wana Dimani uchaguzi mwema wenye amani, utulivu na usio na dhuruma) Amina

= hajaidhulumu
= dhulma / dhuluma
 
Huwezi kabisa ukafananisha kenya rwanda na tz ule ugomvi wao ni wa kikabila watu walioichagua chadema sio m8 ni m6 na hawako dar tu eti wakaenda Nec halafu wakiandamana mpk nec au ikulu ndio kupindua nchi?
Kwa hiyo unaamini tulipata kura milion 6?? Haahaaaaa nyie kma kinana anapita humu anawacheka tu yaani top cream ya ccm inajua tulipata above 8 million afu labda nikijua una taarifa nyeti za ndani kumbe na wwe unasubiri taarifa ya habari mtangaziwa ukawa ina 6 milion ndio unabeba??? Nmekudharau afu ukija hapa unaropoka ropoka as if u know somethin about politics kumbe hata data huna !! gaatak nilla itnayyil bi-nilila .....maluuš zobr
 
Haaahaaaaaa mkuu nacheka sana huku Teh Teh Teh ati jecha alitumia busara?? Haahaaaaa nmeshidnwa hata kureply Teh Teh Teh :D:D:D:D
Ccm ina vichwa vikongwe vyenye busara japo kuna mafisadi wachache lkn wanafanya maamuzi yao kwa busara unlike upande wa pili hakuna misimamo wanawatukana mafisadi kesho wanawakumbatia wanapreach democracy lkn wanampachika mtu kugombea urais bila mchakato wowote migogoro isiyokwisha udini ukanda ukabila unawatafuna taratibu mpk mtakufa kifo cha asili manake mnangoja makapi ya ccm kama mahanga masha kingunge lowassa sumaye lembeli bulaya n.k wananchi hawawaelewi kabisa vyama vyenu vinaendeshwaje maana vinaendeshwa na watu binafsi tu hawapingwi kwa mfano chadema mtei kupitia mkwewe asiyepingwa kwenye uchaguzi mbowe wanakaskazini wakristo hawa . Cuf lipumba anawakilisha waislam wa bara na shariff waislam wa pemba ambao wengi wao walikimbilia oman na uingereza na Jarmshed sultan aliyepinduliwa. Act kinawakilishwa na mwislam mkigoma mwenye madiwani wengi kigoma anawakilisha waislam wa kigoma huyu hajapigiwa kura ni chama chake kaanzisha mwenyew lazima ale jasho lake kwanza. Sasa hapa kuna upinzani gani wa kuing'oa ccm?
 
Mkuu kejeli kwenye mikutano ya ccm hakuna hivi kati ya lwakatare ma magufuli nani alipiga vijembe?? Hivi ccm mnashida gani lakini kwenye kujenga hoja mbona huwa mnajitoa ufaham kiasi hiki?? Eti mikutano ya chadema vijembe ila CCM hamnaga...... hivi ule mkutano wa ccm pale kinyerezi siku ya magufuli kuzindua infrastructure za umeme nani alikuwa kwenye mkutano kma sio mlijaza maccm sijui mwneyekiti wa ccm wilaya jimbo mkoa n.k kwa kisingizio cha ZIARA YA RAIS.... afu mwisho wa siku mkaishia kupiga vijembe wapinzani ambao ndio wanaliongoza jiji la dar sasa pale mbona mlitawala nyie mkutano ila mbona bado vijembe tuliskia??? Asa kwanni uwatetee ccm wakati vijembe kwao ni vingi vya kuwakejeli wapinzania afu sisi tukitaka mikutano mseme tuna maneno mabaya??? R u serious??
Hivi wwe ndo mjenga hoja wa ccm humu jf?? Dah no wondee ccm ilizuia wagombea wasiende kwenye kipindi cha mchakato majimboni coz of suh people like u hoja nyepesi afu ndio frontline ya ccm
Rais ni mwenyekiti wa ccm lazima ccm wawepo najua vijembe vipo pande zote lkn huwezi ukazilinganisha pande hizi mbili kwa vijembe na matusi upinzani uko juu kwa hilo. Ccm hawawezi kukaa sahani moja na wapinzani wajinga wanaokimbilia matusi na kejeli kama ngazi ya kupandia kisiasa unaona zitto kabwe anatembelea kagera kuwaambia wanakagera wametukanwa yaani ndio ajenda iliyompeleka kagera sasa hao wapinzani au mufilisi. Michakato majimboni ukaongee na wavuta bangi wa nini? Hata nyerere alisema hawezi kuiacha nchi mikononi mwa mbwa akimaanisha wapinzani. You guys are still babies on politics just grow up a little bit you will meet us somewhere on the way to the top.
 
Still babies?? I even dare u for a an open debate and at least see what ur brains has got to offer over mine..... shame eti HAWEZI KUIACHA wakati ni huyohuyo nyerere aliesmea wakikosa mabadiliko ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm sasa nje ya ccm sio wapinzani?? Acha kumlisha maneno mzee wa watu dogs wea the MAFISADI those embezzlers of funds like lugumi,meremeta,escrow,deep green,EPA ila kma ni opposition kwa taarifa yako nyerere alimpigia kampeni mgombea ubunge wa NCCR huko mkoa wa mara na akashinda na ndio huyo huyo nyerere akasema muwape wachache wanaotaka vyama vingi sasa kma hakupenda wapinzani angeleta vyama vingi?? Eti dogs?? Dogs ndio nyie ndoaana wananchi wamewakataa na mko hapo kwa idhini ya jecha lubuva na polisi thats it nje ya hapo mgeinskia ikulu kwenye redio tu u piece of scumbags
 
Kwa hiyo unaamini tulipata kura milion 6?? Haahaaaaa nyie kma kinana anapita humu anawacheka tu yaani top cream ya ccm inajua tulipata above 8 million afu labda nikijua una taarifa nyeti za ndani kumbe na wwe unasubiri taarifa ya habari mtangaziwa ukawa ina 6 milion ndio unabeba??? Nmekudharau afu ukija hapa unaropoka ropoka as if u know somethin about politics kumbe hata data huna !! gaatak nilla itnayyil bi-nilila .....maluuš zobr
Hamna uwezo wa kupata m8 mkaizidi ccm kwa m6 never hayo ni maneno ya simba na yanga tu hakuna anayekubali kushindwa hata zikiingia goli za wazi lazima visingizio vitajitokeza mmemuonga refa mmeturoga mnabebwa na tff nakadhalika. You just stay and watch wanaume wanaongoza nchi hatuwezi kuongozwa na mwizi aliyethibishwa na tume ya bunge. Kila siku mtasema mnaibiwa kura tu mpk dunia itaisha lowassa kama ni wizi anaujua vizuri kwanini akubali kuibiwa? Upinzani wa kuishinda ccm sio huu labda wa vizazi vijavyo.
 
Haahaaa naoka unajitia moyo weka sasa tume huru ili hizo milion nane zikadaiwe mahakamani kwanni mliogopa rasimu ya warioba sasa???
Jifunzeni kujenga hoja sio kuropoka ujinga kwa watu serious humu ndani yaani eti hatuwezi fikisha 8?? Fanya research mkuu mtafute mtu akupeleke kwa dk salim au butiku ukapewe taarifa kamili ya uchaguzi ukimaliza ndio urudi hapa sio kutetea usichokijua
 
Rais ni mwenyekiti wa ccm lazima ccm wawepo najua vijembe vipo pande zote lkn huwezi ukazilinganisha pande hizi mbili kwa vijembe na matusi upinzani uko juu kwa hilo. Ccm hawawezi kukaa sahani moja na wapinzani wajinga wanaokimbilia matusi na kejeli kama ngazi ya kupandia kisiasa unaona zitto kabwe anatembelea kagera kuwaambia wanakagera wametukanwa yaani ndio ajenda iliyompeleka kagera sasa hao wapinzani au mufilisi. Michakato majimboni ukaongee na wavuta bangi wa nini? Hata nyerere alisema hawezi kuiacha nchi mikononi mwa mbwa akimaanisha wapinzani. You guys are still babies on politics just grow up a little bit you will meet us somewhere on the way to the top.
Rais ni mwenyekiti wa ccm?? Kumbe march alikiwa tayari mwenyekiti wa ccm??Haaahhahaaa

afu hivi kumbe ile mikutano huwa anaenda kma mwenyekiti wa chama sio rais??
Kwahyo kwa maneno marahisi mwenyekiti wa ccm ni sawa kufanya siasa ila wa cuf au act ni kosa?? Haahaaaa ccm youths get a life and improve ur IQ coz ur so annoying with ur useless ideas and motions
 
Still babies?? I even dare u for a an open debate and at least see what ur brains has got to offer over mine..... shame eti HAWEZI KUIACHA wakati ni huyohuyo nyerere aliesmea wakikosa mabadiliko ndani ya ccm watayatafuta nje ya ccm sasa nje ya ccm sio wapinzani?? Acha kumlisha maneno mzee wa watu dogs wea the MAFISADI those embezzlers of funds like lugumi,meremeta,escrow,deep green,EPA ila kma ni opposition kwa taarifa yako nyerere alimpigia kampeni mgombea ubunge wa NCCR huko mkoa wa mara na akashinda na ndio huyo huyo nyerere akasema muwape wachache wanaotaka vyama vingi sasa kma hakupenda wapinzani angeleta vyama vingi?? Eti dogs?? Dogs ndio nyie ndoaana wananchi wamewakataa na mko hapo kwa idhini ya jecha lubuva na polisi thats it nje ya hapo mgeinskia ikulu kwenye redio tu u piece of scumbags
Mtaongea sana ikulu itabakia kuwa ndoto kuingia na ikulu ile hawezi fisadi papa mchafu kama lowassa kuingia.

Nyerere aliwaita mbwa wapinzani kwa maana ya kuwapa nchi kwenye ngazi ya urais sio ubunge na alitamka hayo maneno alipohojiwa na bbc 1995

Nyerere aliwashauri mrema na marando wagombee majimboni kwao kwani wanakubalika badala ya kupoteza muda kwenye urais.

Nyerere alitoa maneno mengi ya kuikosoa ccm ili kuirudisha kwenye mstari kwa sab aliiona kabisa ilikuwa inamezwa na mafisadi wakiongozwa na lowassa wakati huo.

Aliwahi kusema Ccm sio mama yangu.
Ina nyufa
Viongozi wake wajinga
Amewatungia vitabu n.k
Lkn hakuwa na namna nyingine ya kuiweka kwenye mstari zaidi ya kuiponda.
 
Haahaaa naoka unajitia moyo weka sasa tume huru ili hizo milion nane zikadaiwe mahakamani kwanni mliogopa rasimu ya warioba sasa???
Jifunzeni kujenga hoja sio kuropoka ujinga kwa watu serious humu ndani yaani eti hatuwezi fikisha 8?? Fanya research mkuu mtafute mtu akupeleke kwa dk salim au butiku ukapewe taarifa kamili ya uchaguzi ukimaliza ndio urudi hapa sio kutetea usichokijua
Hiyo taarifa ya butiku na salim kwanini wasiitoe hadharani tuongelee vilivyopo hadharani tusiongelee tetesi tafadhali.

Rasimu ya warioba haijakataliwa imejadiliwa ikapatikana katiba inayopendekezwa kuna vipengele tu vilivyoondolewa kupitia mjadala wa kisheria iliyopitishwa bungeni.
 
Back
Top Bottom