Katibu wa Taifa wa Uchumi na Fedha wa CCM, Mwigulu Nchemba, akihutubia wananchi wa kijiji cha Simbo jimboni Igunga katika mkutano wa kampeni uliofanyika
Mgombea ubunge jimbo la Igunga mkoani Tabora, kwa tiketi ya CCM, Dk Dalaly Peter Kafumu akihutubia mkutano wa kampeni jana katika kata ya Mwisi jimboni humo. NOTE: Hapa ninaona ni watoto tu waliokusanyika ambao hawana sifa ya kupiga kura, na hapa wanatafura njia ya kuja kufanya uharamia wao kwa kigezo kwamba walikuwa wanapata watu wengi. Wajitazame upya na kujipima maana wanaelekea kuanguka vibaya kwa kutumia watoto katika kampeni
pilao na kipindi hiki cha njaa hata vichaa wasioruhusiwa kupiga kura ni wengi sana hapo.
lakini ndiyo furaha ya magamba ili wakitaka kuchakachua watadai hukuona mikutano yetu ilivyojaza watanzania?
aah!masikini ccm na hapo ni dr wa ukweli slaa kwa upande wa cdm wanahangaika , so sipati picha kuanzia kesho kwani makamanda halima mdee,zito,lema,wenje na wengineo wamelipotiwa kuwasili igunga leo.pleziiiiiiiiiiiiii
Kweli CCM kwishney! Huku ndiko kufa kwenyewe. Mwisho kabisa wataenda wodi za wazazi kuwakusanya vichanga waje kuwasikiliza maana hata hawa watoto wa shule watakuwa wameshachoshwa kila siku kusikiliza Nyimbo za John Komba zinazowapelekaga kwenye mikutano ya Magamba. Hawataenda tena!