Kampeni za CCM zakithiri kwa kujaza watoto ambao sio wapiga kuara Igunga

Dullo

JF-Expert Member
Oct 24, 2009
251
64
Katibu wa Taifa wa Uchumi na Fedha wa CCM, Mwigulu Nchemba, akihutubia wananchi wa kijiji cha Simbo jimboni Igunga katika mkutano wa kampeni uliofanyika

Mgombea ubunge jimbo la Igunga mkoani Tabora, kwa tiketi ya CCM, Dk Dalaly Peter Kafumu akihutubia mkutano wa kampeni jana katika kata ya Mwisi jimboni humo.
NOTE: Hapa ninaona ni watoto tu waliokusanyika ambao hawana sifa ya kupiga kura, na hapa wanatafura njia ya kuja kufanya uharamia wao kwa kigezo kwamba walikuwa wanapata watu wengi. Wajitazame upya na kujipima maana wanaelekea kuanguka vibaya kwa kutumia watoto katika kampeni
 
pilao na kipindi hiki cha njaa hata vichaa wasioruhusiwa kupiga kura ni wengi sana hapo.
lakini ndiyo furaha ya magamba ili wakitaka kuchakachua watadai hukuona mikutano yetu ilivyojaza watanzania?
 
Hivi huyu changono Mwigulu bado yuko kwenye timu ya kampeni ya huyo fisadi Kafumu? Kweli magamba wameishiwa.
 
Tupe na side ya pili tupate ulinganifu kamili.Mbona habari butu?? Pls.
 
aah!masikini ccm na hapo ni dr wa ukweli slaa kwa upande wa cdm wanahangaika , so sipati picha kuanzia kesho kwani makamanda halima mdee,zito,lema,wenje na wengineo wamelipotiwa kuwasili igunga leo.pleziiiiiiiiiiiiii
 
Kweli CCM kwishney! Huku ndiko kufa kwenyewe. Mwisho kabisa wataenda wodi za wazazi kuwakusanya vichanga waje kuwasikiliza maana hata hawa watoto wa shule watakuwa wameshachoshwa kila siku kusikiliza Nyimbo za John Komba zinazowapelekaga kwenye mikutano ya Magamba. Hawataenda tena!
 
Katibu wa Taifa wa Uchumi na Fedha wa CCM, Mwigulu Nchemba, akihutubia wananchi wa kijiji cha Simbo jimboni Igunga katika mkutano wa kampeni uliofanyika

Mgombea ubunge jimbo la Igunga mkoani Tabora, kwa tiketi ya CCM, Dk Dalaly Peter Kafumu akihutubia mkutano wa kampeni jana katika kata ya Mwisi jimboni humo.
NOTE: Hapa ninaona ni watoto tu waliokusanyika ambao hawana sifa ya kupiga kura, na hapa wanatafura njia ya kuja kufanya uharamia wao kwa kigezo kwamba walikuwa wanapata watu wengi. Wajitazame upya na kujipima maana wanaelekea kuanguka vibaya kwa kutumia watoto katika kampeni
Ama kweli ukubwa noma, mwanamume mzima mwenye mke na watoto kuvalishwa kanga kama shoga. hii kali
 
Hivi huyu kafumu yuko timamu kweli? Jiumme zima linavishwa kanga halaf linachekelea tu! Kweli dogo janja hakukosea aliposema wa ''watoto wa mama leo tunawavisha kanga'', ccmagamba tumewavisha khanga Igunga
 
Ccm inafikia ukingoni. Naanza kugawa kadi cha cdm kwa wanachama wapya kutoka ccm. Mnakaribishwa sana.
 
Hii Ndiyo tofauti ya mikuano ya kampeni za CCM kujaza watoto na kampeni za Chadema kujaza wakubwa ambao ndio wapiga kura.
IMG_0948.JPG

Picha ya juu mkutano wa Kampeni za CCM Igunga ambao umejaza watoto wengi ambao si wapiga kura

Picha ya chini mkutano wa kampeni za Chadema ambao umejaza watu wazima ambao ndio wapiga kura
attachment.php
 
Back
Top Bottom