Dullo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2009
- 251
- 64
Katibu wa Taifa wa Uchumi na Fedha wa CCM, Mwigulu Nchemba, akihutubia wananchi wa kijiji cha Simbo jimboni Igunga katika mkutano wa kampeni uliofanyika |

Mgombea ubunge jimbo la Igunga mkoani Tabora, kwa tiketi ya CCM, Dk Dalaly Peter Kafumu akihutubia mkutano wa kampeni jana katika kata ya Mwisi jimboni humo.
NOTE: Hapa ninaona ni watoto tu waliokusanyika ambao hawana sifa ya kupiga kura, na hapa wanatafura njia ya kuja kufanya uharamia wao kwa kigezo kwamba walikuwa wanapata watu wengi. Wajitazame upya na kujipima maana wanaelekea kuanguka vibaya kwa kutumia watoto katika kampeni