Kampeni yetu kwa Ajili ya Rais Samia isimdhalilishe na kutudhalilisha sisi pia. Tanzania Kwanza

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,505
Tukiwa maeneo yetu tunaambiana kuwa tusikosoe awamu hii kwa sababu ni awamu ya...

1. Dini yetu
2. Jinsia yetu
3. Kabila letu
4. Asili yetu.

Hapana. Mimi sikuwa nampinga Hayati Magufuli kwa sababu ya Dini yake. Mimi Dini yake inanihusu nini? Mimi nlishambulia matendo hatarishi.

Lakini nlisifia pale ambapo niliona panafaa. Si kweli kuwa Magufuli hakuwa na jema hata moja. Ntakuwa mnafiki kwa kiwango kikubwa sana.

Awamu yake tumeona nidhamu kwa wafanyakazi serikalini,barabara zikijengwa hata mikoa iliyokuwa imetengwa, kodi zetu zilitumika kihalali. Hakukuwa na ulazima sana wa kununua ndege. Hili sikatai.

Rais Samia Suluhu.
1. Dini yake mimi inanihusu nini?
2. Jinsia yake inanihusu nini?

Nchi imeyumba sana. Rais ni kama haelewi afanyacho. Kodi za hovyo za kinyonyaji kwenye Mafuta, Kwenye Miamala na Kadi za Simu.

Mpaka sasa nchi haieleweki. Mawaziri wa hovyo akina Mwigulu hawajielewi ni zao la uchaguzi wa Samia Suluhu.

Tumerudi kule kule kwa kuzuia mikutano na makongamano isipokuwa yale ya chama chetu.

Halafu mtu ananifuata Private ananambia kwa nini nashirikiana na makafiri kumchafua mama?nikashangaa mama yake mimi ananihusu nini? Mimi namkosoa Rais siyo mama yake.

Nitaweka Utanzania kwanza. NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO.

NITAMSIFIA PALE PANAPOHITAJIKA NA KUMKOSOA PANAPOHITAJIKA. TANZANIA IMEKUTWA NA HIZO DINI ZOTE. ILIKUWEPO KABLA.
 
LAKINI HUYU MAMA ANATSAIDIA SANA WAISILAMU LAZIMU TUMHESHIMU.KWANZA MAJAFIRI NDO WANALEAT CHOKOCHOKO. MAMA ANASIKILIZA VIZURI SANA, MFANO AMESIMAMAISHA MAENDELEO CHATO AMBAYO SOTE TULYAPINGA, ALIWATOA MASHEHE WA UAMUSHO, KESI ZOTE ZA OVYO AMEFUTA, TUNAMANI MTAANI..SASA SHEHE WEWE UNATAKA NININ TENA
 
Tukiwa maeneo yetu tunaambiana kuwa tusikosoe awamu hii kwa sababu ni awamu ya...

1. Dini yetu
2. Jinsia yetu
3. Kabila letu
4. Asili yetu.

Hapana. Mimi sikuwa nampinga Dr. Magufuli kwa sababu ya Dini yake. Mimi Dini yake inanihusu nini? Mimi nlishambulia matendo hatarishi.

Lakini nlisifia pale ambapo niliona panafaa. Si kweli kuwa Magufuli hakuwa na jema hata moja. Ntakuwa mnafiki kwa kiwango kikubwa sana.

Awamu yake tumeona nidhamu kwa wafanyakazi serikalini,barabara zikijengwa hata mikoa iliyokuwa imetengwa, kodi zetu zilitumika kihalali. Hakukuwa na ulazima sana wa kununua ndege. Hili sikatai.

Rais Samia Suluhu.
1. Dini yake mimi inanihusu nini?
2. Jinsia yake inanihusu nini?

Nchi imeyumba sana. Rais ni kama haelewi afanyacho. Kodi za hovyo za kinyonyaji kwenye Mafuta, Kwenye Miamala na Kadi za Simu.

Mpaka sasa nchi haieleweki. Mawaziri wa hovyo akina Mwigulu hawajielewi ni zao la uchaguzi wa Samia Suluhu.

Tumerudi kule kule kwa kuzuia mikutano na makongamano isipokuwa yale ya chama chetu.

Halafu mtu ananifuata Private ananambia kwa nini nashirikiana na makafiri kumchafua mama?nikashangaa mama yake mimi ananihusu nini? Mimi namkosoa Rais siyo mama yake.

Nitaweka Utanzania kwanza. NITASEMA KWELI DAIMA FITINA KWANGU MWIKO.

NITAMSIFIA PALE PANAPOHITAJIKA NA KUMKOSOA PANAPOHITAJIKA. TANZANIA IMEKUTWA NA HIZO DINI ZOTE. ILIKUWEPO KABLA.
Hii ni Zamu ya dini ya zitto kabwe
 
LAKINI HUYU MAMA ANATSAIDIA SANA WAISILAMU LAZIMU TUMHESHIMU.KWANZA MAJAFIRI NDO WANALEAT CHOKOCHOKO. MAMA ANASIKILIZA VIZURI SANA, MFANO AMESIMAMAISHA MAENDELEO CHATO AMBAYO SOTE TULYAPINGA, ALIWATOA MASHEHE WA UAMUSHO, KESI ZOTE ZA OVYO AMEFUTA, TUNAMANI MTAANI..SASA SHEHE WEWE UNATAKA NININ TENA
Dini isiwe kigezo.
Awe judged kulingana na atendevyo na hio nembo ya Uraisi.
 
Siwez kuumuunga mtu mkono kisa et udini noo ht muft awe shekh ukileta utumbo siko nawe hili baraza la mawazir kuna mawazir vilaza sana hawana vigezo vya kuongoza ht punje ukiona kiongoz aliejawa na kibur majivuno na kibri huyo hana sifa ya kuongoza labda akaongoze hiyo familia yake yan nataman ningekuw ninamamlaka ningefanya jambo kwajilj ya hao viongoz wasio kuwa na maadili ktk kazi......rrrrrrubish
 
Back
Top Bottom