Kampeni Ya utaifa kwanza ni unafiki

Viongozi wasipojirekebisha hasa kwenye mambo yanaonesha upendeleo kwa kundi fulani na kupuuzwa kwa kundi fulani.Kampeni za uzalendo zitakuwa ni propaganda tu.
 
Huwezi kufundisha uzalendo Mambo anayofanya kiongozi kama ni mazuri wananchi wakua wazalendo bila hizi semina za uzalendo kumbe fulsa
 
Huwezi kufundisha uzalendo Mambo anayofanya kiongozi kama ni mazuri wananchi wakua wazalendo bila hizi semina za uzalendo kumbe fulsa
Hakika. Wangetenda tu matendo ya kizalendo, kila mtu angebadilika, bila hata kutumia pesa nyingi kuandaa vitabu na makongamano. Kwenye mkutano wa uzalendo jana sikuona uwakilishi kutoka makundi mengine yenye mawazo mbadala, zaidi ya kuona U-CCM ukitawala mwanzo mwisho
 
Mimi naunga mkono wewe endelea kupinga kwani sio ajabu tunakujueni ndo walewale waloshikiwa akili na gastura.
 
Back
Top Bottom