Kampeni mpya ya Magufuli; UTU (uzalendo Tanzania unawezekana)

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,628
6,669
340db8dae42bdb6dc53c267f6bfe784a.jpg

NOTE
huu uzalendo wa nchi huenda unachama chama chake, maana rangi na jezi aliyovaa mheshimiwa vinasadifu uzalendo chamani

Isue ya kitaifa, kuhimiza wananchi uzalendo haihitaji jezi za (yanga) kijani na njano
 
Naunga mkono UTU, hivyo ayafungulie maandamano tuandamane nchi nzima kuunga mkono UTU, ila hata wa UKUTA waruhusiwe kuandamana.

P.
 
Ni jambo jema kabisa na ni la kuungwa mkono na kila mtanzania

Lakini itaungwa vipi mkono na kila mtanzania huku ikiwa na uchama ndani yake?
 
Tunapokuja kwenye suala linalogusa maslahi ya taifa, maslahi ya taifa hutangulizwa mbele kabla ya siasa za vyama.

Hivyo katika hili, tuweke pembeni siasa za vyama, Watanzania tuungane pamoja na tuwe wamoja kwenye hili!.

Paskali

P.
 
Yeye mwenyewe hana utu ni katili kuliko hata goriath halafu anakuja na slogan zake za chato hapa..kwendaaaaaaa
 
labda yule Anti wenu anautu ulionyooka kama pasi...

Magu mwanzo mwisho..anayo kura yangu 2020 panapo uhai..
 
Back
Top Bottom