Tulitegemea kuwa kampeni za Igunga zingetawaliwa na sera za vyama husika ili wananchi maskini wa nchii waweze kutambua ni mgombea yupi anafaa ili aweze kuwahudumia wanachi wa Igunga, badala yake tumeshuhudia vituko vya kila aina ambavyo ni aibu kwa demokrasia yetu changa.
Labda navyo ni sehemu kampeni.
Asante mkuu kwa taarifa Njaa za viongozi wa dini Zisitupelekee Uchochezi.CHONDE TAASISI ZINAZOTUONGOZAA KIDINI NCHINI ZISIWE ZIKIKIMBILIA SANA KWENYE KIOO KUTEKELEZA MATAKWAA YA WANASISA WAASIOAMINIKA KATIKA JAMII
Ama kweli ajizi nyumba ya njaa; CCM kumbe walikua wamewaingiza porini kabisa baadhi ya ndugu zetu Waislamu kwa taarifa za uongo kama hivi???
Kwa kweli sikujua kwamba ni yule yule mama Kimario jirani yetu kule Mbezi ndiye aliyekua akizungumziwa muda wote. Jamani yule mama wala si Muislamu ni mkristo safi tena Mzee wa Kanisa pale Wazo, duuuhh hawa jamaa jamani!!!!!!
JF team tayari ilishazuru kule kwenye shamba lake la pili kule Tegeta na picha zote za shamba lake tayari ziko hewani JF kusaidia kuthibitisha ukweli kwamba kasingiziwa na CCM taarifa hizo hapo juu.
Mpaka hapa sasa sijui kwamba BAKWATA watalazimika kuitisha mkutano mwingine kukana taarifa zao za awali juu ya huyu mama. Jamani si kila Fatuma ni Muislamu WAKATI MWINGINE NI JINA TU LA UKOO hivyo kukimbilia kutolea tamko hata mtandio tu wa urembo mtu eti ni hijabu ni makosa sana tu.
Hijabu sisi sote tunaifahamu na kuiheshimu sana; kwa kawaida hutanda kichwani hadi miguuni tena kushitiri mwili mzima sembuse kale ka ulimi wa ng'ombe aliojitupia Mama Kimario kuwahi kwenye kutengeneza misheni za kura zisizoibika Igunga???????????
Kwa hiyo ni sawa kudhaliliswa kwa kuwa yeye ni Mkristo na sio mwislamu?CHONDE TAASISI ZINAZOTUONGOZAA KIDINI NCHINI ZISIWE ZIKIKIMBILIA SANA KWENYE KIOO KUTEKELEZA MATAKWAA YA WANASISA WAASIOAMINIKA KATIKA JAMII
Ama kweli ajizi nyumba ya njaa; CCM kumbe walikua wamewaingiza porini kabisa baadhi ya ndugu zetu Waislamu kwa taarifa za uongo kama hivi???
Kwa kweli sikujua kwamba ni yule yule mama Kimario jirani yetu kule Mbezi ndiye aliyekua akizungumziwa muda wote. Jamani yule mama wala si Muislamu ni mkristo safi tena Mzee wa Kanisa pale Wazo, duuuhh hawa jamaa jamani!!!!!!
JF team tayari ilishazuru kule kwenye shamba lake la pili kule Tegeta na picha zote za shamba lake tayari ziko hewani JF kusaidia kuthibitisha ukweli kwamba kasingiziwa na CCM taarifa hizo hapo juu.
Mpaka hapa sasa sijui kwamba BAKWATA watalazimika kuitisha mkutano mwingine kukana taarifa zao za awali juu ya huyu mama. Jamani si kila Fatuma ni Muislamu WAKATI MWINGINE NI JINA TU LA UKOO hivyo kukimbilia kutolea tamko hata mtandio tu wa urembo mtu eti ni hijabu ni makosa sana tu.
Hijabu sisi sote tunaifahamu na kuiheshimu sana; kwa kawaida hutanda kichwani hadi miguuni tena kushitiri mwili mzima sembuse kale ka ulimi wa ng'ombe aliojitupia Mama Kimario kuwahi kwenye kutengeneza misheni za kura zisizoibika Igunga???????????
Kwa hiyo ni sawa kudhaliliswa kwa kuwa yeye ni Mkristo na sio mwislamu?
Hiyo haramu ni dili bibie, kipato chake ni kizuri sana. Mnyama sio haramu kumla ndio haramu. Kwani wanao fuga paka na mbwa wanawala?Si sawa kudhalilishwa,
ila si sahihi kwa BAKWATA kutolea tamko muislam swafi ilhali anafuga haram shambani kwake
Serikali huko Igunga kwa maana ya jeshi la polisi etc ndio ilitakiwa itoe tamko hilo na si BAKWATA kwa niaba ya waislam
Za kuambiwa changanya na zako!
Hiyo haramu ni dili bibie, kipato chake ni kizuri sana. Mnyama sio haramu kumla ndio haramu. Kwani wanao fuga paka na mbwa wanawala?
Na je Kanisa likitoa tamko la kupinga udhalilishaji uliofanyika kwa huyu mama, Jf watafanya kazi za ziada kama walivyo fanya wakati BAKWATA ilivyo lalama?
Tunafahamu hata kule mgombani kwao akinamama wote wanajitanda kanga kichwani!CHONDE TAASISI ZINAZOTUONGOZAA KIDINI NCHINI ZISIWE ZIKIKIMBILIA SANA KWENYE KIOO KUTEKELEZA MATAKWAA YA WANASISA WAASIOAMINIKA KATIKA JAMII
Ama kweli ajizi nyumba ya njaa; CCM kumbe walikua wamewaingiza porini kabisa baadhi ya ndugu zetu Waislamu kwa taarifa za uongo kama hivi???
Kwa kweli sikujua kwamba ni yule yule mama Kimario jirani yetu kule Mbezi ndiye aliyekua akizungumziwa muda wote. Jamani yule mama wala si Muislamu ni mkristo safi tena Mzee wa Kanisa pale Wazo, duuuhh hawa jamaa jamani!!!!!!
JF team tayari ilishazuru kule kwenye shamba lake la pili kule Tegeta na picha zote za shamba lake tayari ziko hewani JF kusaidia kuthibitisha ukweli kwamba kasingiziwa na CCM taarifa hizo hapo juu.
Mpaka hapa sasa sijui kwamba BAKWATA watalazimika kuitisha mkutano mwingine kukana taarifa zao za awali juu ya huyu mama. Jamani si kila Fatuma ni Muislamu WAKATI MWINGINE NI JINA TU LA UKOO hivyo kukimbilia kutolea tamko hata mtandio tu wa urembo mtu eti ni hijabu ni makosa sana tu.
Hijabu sisi sote tunaifahamu na kuiheshimu sana; kwa kawaida hutanda kichwani hadi miguuni tena kushitiri mwili mzima sembuse kale ka ulimi wa ng'ombe aliojitupia Mama Kimario kuwahi kwenye kutengeneza misheni za kura zisizoibika Igunga???????????
CHONDE TAASISI ZINAZOTUONGOZAA KIDINI NCHINI ZISIWE ZIKIKIMBILIA SANA KWENYE KIOO KUTEKELEZA MATAKWAA YA WANASISA WAASIOAMINIKA KATIKA JAMII
Ama kweli ajizi nyumba ya njaa; CCM kumbe walikua wamewaingiza porini kabisa baadhi ya ndugu zetu Waislamu kwa taarifa za uongo kama hivi???
Kwa kweli sikujua kwamba ni yule yule mama Kimario jirani yetu kule Mbezi ndiye aliyekua akizungumziwa muda wote. Jamani yule mama wala si Muislamu ni mkristo safi tena Mzee wa Kanisa pale Wazo, duuuhh hawa jamaa jamani!!!!!!
JF team tayari ilishazuru kule kwenye shamba lake la pili kule Tegeta na picha zote za shamba lake tayari ziko hewani JF kusaidia kuthibitisha ukweli kwamba kasingiziwa na CCM taarifa hizo hapo juu.
Mpaka hapa sasa sijui kwamba BAKWATA watalazimika kuitisha mkutano mwingine kukana taarifa zao za awali juu ya huyu mama. Jamani si kila Fatuma ni Muislamu WAKATI MWINGINE NI JINA TU LA UKOO hivyo kukimbilia kutolea tamko hata mtandio tu wa urembo mtu eti ni hijabu ni makosa sana tu.
Hijabu sisi sote tunaifahamu na kuiheshimu sana; kwa kawaida hutanda kichwani hadi miguuni tena kushitiri mwili mzima sembuse kale ka ulimi wa ng'ombe aliojitupia Mama Kimario kuwahi kwenye kutengeneza misheni za kura zisizoibika Igunga???????????
Omr kama umehalalisha mimi sina tatizo kabisa