Kampeni Igunga zatawaliwa na vituko badala ya Sera

Wakumbuke hao wanaowania Ubunge,kwamba Jaji Lewis Makame ni refa,ni umpire. Kazi yake siyo tu kuhesabu kura,isipokuwa kufahamu pia hizo kura zimepatikana vipi.
Lakini wale watu wamesisimka sana. Jana Julius Mtatiro alikuwa anasema anataka kampeni ziwe shwari;anasema hivyo huku amevaa cowboy hat,stetson hat kutoka Texas.
Hii ndiyo wiki ya lala salama. Hakuna sababu yoyote kwa nini wasimalize Uchaguzi kwa amani.Mimi nadhani pale ushindani ni kati ya CHADEMA na CUF. To be precise,mimi nataka mshindi atoke kati ya hao wawili. Usually mimi huwa napendelea CUF kama hao wawili wakishinda,lakini naona CHADEMA mara wanakuwa full of surprises.
I hope they will be able to avoid violence. Lakini politicians siyo kazi yao kufanya mambo kwa lengo la kudumisha amani. Kazi ya kudumisha amani ni kazi ya peace activists
 
Watu wajue majina mengine ni kwa ajili ya masoma tu, watu kibao wamenunua majina ya watu ili kupata elimu, so wasidanganyike na majina, sasa wenzangu wa BAKWATA watakuja la lingine kuwa nafas zote za juu serikalin wanapewa wakristo tu, Waislam hawapewi ila wanadanganywa wa majina ya kufiji kama la fatuma kimario.hilooooooooooooooooooooooooooooooo imekula kwenu, ubabwa umewaponza.
 
Back
Top Bottom