Kampeni 2015, Picha ya Siku

Kampeni 2015, Picha ya Siku

Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao

Eti huyu ndiyo THINK TANK ya CCM my foot!. Na bado kuna Watanzania including Magufuli wanashangaa kwanini Tanzania ni masikini!
 
attachment.php
 
Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao

Mtu mzima ovyo, ongea point hata ww ipo cku utafikia hali io na cjui hao mababu na bibi zako wako ktk hali gani. Je izo pesa unazoongwa umeweza kuwahudumia???????.

Hata Akijinyea, tutamtawaza na kumrudisha uwanjani, maadamu manyangau CCM na vimburula vyake viondoke madarakani.

Mungu ibariki Chadema/Ukawa
Mungu ibariki Tanzania
 
Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao
Teh teh teh..
Mwambie na Magufuli naye ajinyee ili apate kuungwa mkono na watu wengi hivi!
CCM kwisha habari yake!
 
Hii ni jana Lowassa akiwa Mbagala.... Tukutane 25.10.2015..

Mbona hujaweka hii picha watu waone bodaboda zilivyokuwa zinawekwa mafuta ili zikaongeze mafuliko kigamboni?
 
Attachments

  • 1442830395976.jpg
    1442830395976.jpg
    45 KB · Views: 149
Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao

Ni vema ukatambua kuwa mtu ujinyea baada ya kupoteza fahamu na kuanguka kifafa kwa hali hiyo jibu utakuwa nalo kati ya Lowassa na yule wa kwenu nani alijinyea
 
Mbona hujaweka hii picha watu waone bodaboda zilivyokuwa zinawekwa mafuta ili zikaongeze mafuliko kigamboni?

Kwaiyo ulitaka bodaboda waweke mkojo?.... Hapo wamejigharamia kwa fedha zao wenyewe sio kama CCM
 
Kwa siasa za hivi! sidhani kama tutafika huko tunapopata yaani mtu mzima unakaa 24 hrs bize kuja kuandika haya?

Unadhani ataandika nini mkuu, hali ishakuwa mbaya sana lumumba na wafuasi wao, wanaishia kuandika mambo ya ajabu utadhani watoto wadogo tena wassio na malezi yenye nidhamu.
Nimeiona hiyo comment yake nimesikitika sana.
 
Acha ubwege we mdada-tunajua umbea kwa wanawake ni kawaida,ila we umezidi,,,huwez kujua kama mtu kajinyea,unless uwe kiti au suruali yake,,,hafu hata kama ni kweli,si alipata huduma...we utakuja kujinyea na hutapata huduma, labda kupakwa kinyesi chako
pengine yeye ndo anatolewa kinyesi na mitaimbo
 
Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao

Nyie ccm ndio mmejinyea hamna sera hasa wewe lizaboni inaonekana umepigwa kidole cha nnya hadi umejinyea.
 
Sio kiushabiki ila naitamani kwa hamu siku Magufuli akija Kigamboni...sijui atawaeleza nini kwa kweli!?? #thinkingAloud
 
Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao
Kajinyea alaf kapaka nnya yake usoni ila nasie tutamchagua hivohivo..lowassa nnavokupenda ntakunywa sumu juu yako...peoplesssss
 
Back
Top Bottom