Abdul Mohammed
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,331
- 860
Ccm ipo taabani
Mpaka anabeba watu kutoka sehemu nyingine ujue CCM ipo hoi hata kwao kama asingebeba watu asingepata mtu
Last edited by a moderator:
Ccm ipo taabani
Hebu acheni utani jamani. Nimeona kule Whatsapp wameweka mpaka picha lakini siwezi kuamini. Ni kweli mzee alikata gogo akiwa jukwaani? Ni mgonjwa kiasi hicho? Siasa jamani siyo kuchafuana na hili halitusaidii.Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao
Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao
namwomba shetani azidi kuwapotosha fisiem waendelee hiv hiv kumtukana Rais wa tano wa Watanzania ili kuwatia hasira zaid wapiga kura.
shetani hoyeeeeeeeeeeeeee
Hooooiiiyeeeeee....
Huyu jamaa alitakiwa awe RaisHii ni jana Lowassa akiwa Mbagala.... Tukutane 25.10.2015..
Ni kweli mkuu ila umati uliokuwa unajaa wakagundua ni matatizo wakaamua kumpa mwingine labda tusikilizie mpaka 2025 kama atakuwepo.Huyu jamaa alitakiwa awe Rais
Aliyechaguliwa ni jangaNi kweli mkuu ila umati uliokuwa unajaa wakagundua ni matatizo wakaamua kumpa mwingine labda tusikilizie mpaka 2025 kama atakuwepo.
Ocampo four na mtani wake mkubwa wa upande wa pili sijui wako wapi, labda wataibuka 2020 yena.Hii ni jana Lowassa akiwa Mbagala.... Tukutane 25.10.2015..
Teh teh teh!!Lumumba mtajinyea mwaka huu hadi mkome.

....
Mpiga picha Mungu anamuona....
![]()
Hahahahahaaa ccm ni noma aise hii nchi akitaka kuiacha n yeye mwenyewe magufuli lakin sio upinzanEl hana mpinzani...
Hawa Sisiem ni mbwembwe tu kama wanavyojitapaga mabondia ambao mwishoni wanachezea vichapo.