Kampeni 2015, Picha ya Siku

Kampeni 2015, Picha ya Siku

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Hii ni jana Lowassa akiwa Mbagala.... Tukutane 25.10.2015..
 
Attachments

  • 1442824464746.jpg
    1442824464746.jpg
    83.4 KB · Views: 3,401
El hana mpinzani...

Hawa Sisiem ni mbwembwe tu kama wanavyojitapaga mabondia ambao mwishoni wanachezea vichapo.
 
Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao
 
UKAWA acheni kujibaraguza. Watanzania tumewastukia sana.!!!!!!!!!!!!
 
Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao
namwomba shetani azidi kuwapotosha fisiem waendelee hiv hiv kumtukana Rais wa tano wa Watanzania ili kuwatia hasira zaid wapiga kura.

shetani hoyeeeeeeeeeeeeee
 
Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao

Acha ubwege we mdada-tunajua umbea kwa wanawake ni kawaida,ila we umezidi,,,huwez kujua kama mtu kajinyea,unless uwe kiti au suruali yake,,,hafu hata kama ni kweli,si alipata huduma...we utakuja kujinyea na hutapata huduma, labda kupakwa kinyesi chako
 
Mbagala walienda kushuhudia jinsi mtu anavy.ojinyea. Maana walisikia tu yaliyotokea kule Geita na sasa walitaka kushuhudia kwa macho yao

Huyu babu anakuambia Umelaaniwa

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom