Kamishna Minja wa Magereza Matatani

Kamishna Minja wa Magereza Matatani

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Na Mwandishi wetu.

Vyombo vya uchunguzi vya Serikali vimeanza kufuatilia ujenzi wa Nyumba tano zinazojengwa sehemu moja Salasala Dsm mali ya kamishna Jenerali wa jeshi la Magereza nchini John Minja.

Chanzo: Jamhuri
 
Niliwahi kusema miaka hii mitano tutashuhudia maandamano ja jeshi la polisi....
 
Hivi huko jeshi la magereza nako kuna ulaji???
 
Ona Tanganyika wamerudisha Kipindi cha zamani cha RTTD kumu JF kilichoitwa "MIKINGAMO" yaani Tuambie yuko wapi na anafanya nini. Nafikiri wakati ule Sirikali haikiwa na ubize wowowote za kufanya na kulete maendeleo kwa wadeu .
 
wachaga wengi wao ndio mafisadi makubwa ya nchi hii

Mkuu,
Siku zote nilikuwa mbele kukataa na kulaani ukabila. Lakini madudu yanavyozidi Kutumbuliwa siku hadi siku na majina ni Yale Yale ya jamaa zetu wa jamii ya kule, imebidi nikubali na kuamini hawa watu baadhi Yao ni waroho na wabinafsi sana. Mungu atuepushe na Viongozi wa aina hii katika awamu ya tano.
 
Kama ni kufuatilia wamfuatilie IGP na Ma RPC wanavyokula na vibaka huku uhalifu ukitamalaki,ziara za nje na manunuzi,sio Julia na mchunga wafungwa huyu ana kidogo tu,unajua kila RPC anatoa ngapi kwa mwezi kwa IGP au mmelalia maskio,uhalifu hautaisha hadi Ma RPC wa taka poa huku she a adabu maana wamejisahau,ukiona MTU naenda hela ujue polis hawakupata mshiko,
 
Pumba tupu ..... Na uvivu wa kufikilia .. Ww n Asha mashauzi
 
Na Mwandishi wetu.

Vyombo vya uchunguzi vya Serikali vimeanza kufuatilia ujenzi wa Nyumba tano zinazojengwa sehemu moja Salasala Dsm mali ya kamishna Jenerali wa jeshi la Magereza nchini John Minja.

Chanzo: Jamhuri

Wakati wanachunguza nyumba za kamishna Huyo, watueleze pia mikataba ya gesi na magari yaendayo Vila kasi mkataba wake uko kwa nani?
 
Hivi huko jeshi la magereza nako kuna ulaji???

Acha kabisa! Huko kuna ulaji wa ajabu ajabu. Eti unakuta kwa mikoani hasa ya nyanda za juu wapo Vijana wameajiriwa na wanakaa mpaka miezi sita au saba hawajapewa mishahara kumbe Pesa zimeshatoka hazina wakubwa wanaziblock na kuziinvest na kula faida kisha ndio Vijana wanalipwa baada ya kusota sana.
 
Kama ni kufuatilia wamfuatilie IGP na Ma RPC wanavyokula na vibaka huku uhalifu ukitamalaki,ziara za nje na manunuzi,sio Julia na mchunga wafungwa huyu ana kidogo tu,unajua kila RPC anatoa ngapi kwa mwezi kwa IGP au mmelalia maskio,uhalifu hautaisha hadi Ma RPC wa taka poa huku she a adabu maana wamejisahau,ukiona MTU naenda hela ujue polis hawakupata mshiko,

Acha kujikuna kuna makalio shusha data tukuelewe
 
Back
Top Bottom