Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

Mateja wapo ccm ndo maana mwenyekiti wenu wa ccm alimsadie Rays matibabu bure akawaache mateja wengine kama wewe na wote wanaomtetea mbunge wa monduli.

CCM na kambi ya EL iko imala na sioni kuongozi yoyote zaidi yake, hatutaki kuongozi ana nyumba ulaya na dubai lakini chama kimepanga miaka 33 sasa.
 
CCM na kambi ya EL iko imala na sioni kuongozi yoyote zaidi yake, hatutaki kuongozi ana nyumba ulaya na dubai lakini chama kimepanga miaka 33 sasa.
kuongozi ndo nini
 
Paka shume
 
Shida yako shule...mgonjwa anaonekana hata kwa macho tu hasa mtu anayemfahamu kwa muda mrefu
 
Lowassa ni mpango mzima anayemsema anasema bure tu kwani maandalizi yote yamekamilika na kipindi hiki kweli ccm iko kazi kwa jina la Raisi ila wakimsimamisha Lowassa ccm itapita
 
We unaesema Lawasa anaumwa kamwambie mama yako,kama kuna mtu kakutuma ashindwe na alegeeeee tena ikiwezekana afe kabisa manake akilegea atainuka,mbona mzee wa tezi dume utangazi kama mgonjwa,kafie mbele mwanga wa mchana wee.
 
KUNA MAKUNDI MATATU YA WATU WANAOMSEMEA LOWASSA NA KUTAKA KUTUAMINISHA KWAMBA NI MTU MWENYE SIFA NZURI ZA HADI KUPEWA URAIS.

1. Kundi la watu amabao kwa kupitia mitandao aliyojiwekea huyu Bwana Edward wanamwagiwa pesa ili kuendelea kumpigia kampeni. Na hili huyu Bwana ameliweza sana maana ukweli ni kwamba pesa anayo. Kundi hili ni la waganga njaa, wachumia tumbo na walafi wasio na aibu.

2. Kuna kundi la watu ambao wanajiwekea matumaini kuwa huyu Bwana Edward akipita basi na wao watakumbukwa katika ufalme wake na kupata nafasi za kujinufaisha kwenye huo mfumo atakao weka wa uongozi. Huyu Bwana Edward hasiti kuwaambia hao watu, 'fanyeni kazi maana siku ikifika nanyi muingie huku kunako starehe za utawala.' Kundi hili ni la wabinafsi, wenye tamaa, na uchu uliojaa usongo kiasi kwamba hata ukweli wanaoujua kuhusu huyu Edward hawako tayari kuukubali.

3. Kundi la tatu ni la watu ambao kwa nafasi zao mbalimbali na hasa za uongozi wanalazimika kusema mara moja moja kuhusu Lowasa. Mara utasikia kiongozi huyu amemmwagia sifa Edward, mara mwingine atasema Edward ni chaguo la wengi na hata Mama mmoja kiongozi wa juu aliwahi kusema "Hakuna mwanamume kama Lowassa! "Hili ni kundi la wanafiki, na ndilo kundi baya kuliko mengine. Wengine kundini humu wanasema ya kumsifia Edward kama vile kumpooza kwa masaibu yaliyomkuta - haswa kufukuzwa uwaziri mkuu, lakini wengine ni kwa sababu tu ya kubalance mambo ya kisiasa kwenye Chama!

Makundi yote hayo ni ya watu walioingiwa na upofu, na mtindio wa mawazo kiasi kwamba hawaoni kwamba wanataka kuliuza taifa hili kwa tamaa zao, na bila hata haya wala soni, wakiendekeza mapungufu yao ya tamaa, unafiki, na ulafi usio na mfano.

Sijui sura zao watakuja zificha wapi siku uhaini wao huu ukituingiza kwenye matatizo kama taifa ikija tokea huko mbele!
 
Rais wetu ni Lowassa midimu mingne tupa kule....lowasa atawanyma usngz mpaka mpate presha
 
 
Lowassa kuwa Rais wa Tanzania ni sawa na Tanzania kuipa Marekani msaada wa midege ya kivita
 

Umesahau kundi linalomwongoza yeye ama Taifa vibaya ili mbeleni wamlaumu kusababisha Taifa kugawanyika. Ndiyo ni chaguo la wengi, je ni chaguo la Taifa?
 
Lowasa na kambi yake mwaka huu watakufa wenyewe kwa presha .

Mtu ambaye amekula pesa nyingi kisha hafanyi kazi za Lowasa ni Abubari Lyongo huyu Kazi yake ni Kumpiga Lowasa fix na kutafuna mapesa akamwahidi kuwa wanaingia ilkulu kisha atapewa cheo kama cha Salva yaani mkuu idara ya habari ikulu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…