CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
Mkuu mbona historia inapiga chenga hivyo hata kulidharau Jeshi letu la Wananchi kwa kuiita kambi ya Chandamali ni ya mishale ya vita vya Majimaji? Hebu tuombe radhi watanzania.
Mishale iliyotumika vita vya Majimaji watu wachache sana wanayo na mingine ipo pale kwenye Makumbusho ya Mashujaa wa Majimaji Songea.
Mlima Chandamali ulitumika kama sehemu ya kwenda kufanyia matambiko. Chifu Songea, Chifu Luambano na baadhi ya majumbe walikwenda sana huko kutambika before, during and after Majimaji war. (inatajwa hata Marehemu L Gama alikuwa akienda.)
Kambi hiyo ya jeshi ilianzishwa baada ya Uhuru. Inasilaha nzito za kivita. LENAMO wanaijua habari ya kambi hiyo.
Ni RENAMO na sio LENAMO......mimi nasisitiza kuwa mishale ya Majimaji ipo bado.....kama haijaungua ni vizuri