Kambi ya arabela tupooooo?

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Bila shaka mie mzima, mie ambae nipo ktk kamati ya ufundi naona mambo sio mabaya.kipipi nitafutie paka mweusi nataka nimtume akanichimbie mzizi mkavu.arabela lazima awe king ast. Naona vigagula wa upande wa wapinzani nazidi kuwamaliza kila wakisogea tu mie nawatungua.pigeni kura zenu kwa arabela kwa raha zenu mie babu na bibi yenu nipo nawahakishia usalama.
 

baba v. Nakuona katika mitambo yangu asili upo bize na umezungukwa na pc kama 10 pia naona hapo kama umeshika simu una type kitu gani hapo? Kweli hii kambi imejipanga watatoka jasho la meno.
 
Last edited by a moderator:
Baba v ngoja nitume njiwa aende katika mabox ya kura aniletee majina ya wapinzani nataka nimalize kabisa tubaki kusubiri sherehe tu. ARABELA WOYEEEEEEEE. Ushindi ni wako
 
Afu utaalamu kama wako tukichanganya na uwezo wa zubedayo_michuzi kuona wasivyoweza kuona wengine lazima wapinzani walie sana aisee
 
Last edited by a moderator:

Pamoko sana..
 
Last edited by a moderator:
Man Zanta umeshampigia kura lakini!?
Aah mimi tena yaani kama mkuu hapo juu alivyosema tunapiga za kisayansi zaidi kwa hiyo ni ngumu kung'amua
 
Last edited by a moderator:
Mkulu tedo ni mwendo wa mashambulizi kwa kwenda mbele,tuwafundishe kazi watoto akina Chimbuvu na mtu mzima watu8, ila kuna mtu humu simwelewi kabisg,kasimama kama jeshi la mtu mmoja na kakomaa kishenzi, cacico



Hana jeuri ya kusimama kama jeshi la mtu mmoja huyo, nyuma yake kuna Asprin na ma hommies wake....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…