Kambi Gani ya JKT Inamafunzo Magumu?

Kambi Gani ya JKT Inamafunzo Magumu?

Parahisie ne
hilo nalijua lakini nasikia kuna kambi kama jkt ruvu pale ni mteremko sana,nasikia hats baadhi ya mafunzo huwa hawafanyi
Nda uonee. Mm nlienda 2015 Nlikuta kambi nizuri maji kila kona vyoo visafi kuliko hata vya Baadhi ya vyuo Na vitanda vizuri lakini tulikaa wiki tatu hata kuvigisa vitanda hatujagusa tukienda bwenini nikufagia tuu basi Na baada ya mkesha kuisha tunalala saa saba usiku tunaanka saa Tisa ucku hapo ndo utajua hata la Ruvu lilipo. Kiufupi Ni kambi ilo jengeka sanaaaa. Lakini hutafaidi uzuri wake maana Ni kazi twenty four hours.
 
Acheni kumshaur hvyo kijana nenda kambi zote utakula bata ila si KANEMBWA kule wanapelekwa wanajeshi wale watenda makosa yaan watukutu nenda ukajionee mwenyewe 824kj
 
makutupora hamna depo la jkt, kilichopo ni kambi ya malezi ya servicemen(askari waliomaliza depo ya jkt kutoka vikosi mbali mbali vya mafunzo), sasa huyo mdogo wako kamwe hawez kwenda makutupora maana hapo wanatoa mafunzo ya jwtz tu so kuwa makini mtatapeliwa

Na service girl mkuu.
 
Kambi ni mgambo 835 kj na ugumu wake unatokana na mashamba ambayo ya ukubwa unaoendana na wilaya kinondoni, ratiba za shamba ni kila siku
Pale kabuku sio pamchezo mchemzo mashamba ya bwawani ,gendagenda na komsanga acha tu
 
Nashukuru dogo aliendaga 832 kisha 843 baadaya ajira akaanza 835 now yupo chuga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom