Ukipitia jkt utaelewa ninachokiongelea hapo
mafinga sio jkt mkuu
Ila ni nini? Kama hujui usipende kubisha, tulia utajua kupitia wengine. Mafinga ni mji na pia kuna kambi ya JKT inaitwa MAFINGA JKT (841 KJ).
Mafinga ni kambi inayomilikiwa na jkt ila inaazimwa kwa tpdf kufanyia mafunzo. Ni kawaida sana mkuu.
Hadi Mwalimu Nyerere alipiga depo lake la mujibu wa sheria mafinga jkt
Angalia hiyo link ya official website ya jkt Mafinga JKT
Samahani kiongozi eti una undugu na mossad007?

kote ni sawasawa hakuna kambi ngumu wala rahisi
Naskia Bulombola JKT ndio pagumu sana ndani ya Kigoma hiyo. Kwanini Mnamshauri anywe maji mengi?? Ndio itapunguza ugumu wa mazoezi??