Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Walichokifanya kamati ya nidhamu bungeni ni viroja.Walimsamehe Halima mara ya kwanza kwa sababu moja tu.
Halima na Bashite walilalamikiwa kwenye tume hiyo kwa wakati mmoja,Nia yao kubwa ilikuwa kutokumwajibisha Bashite,Walimwita kama kuzuga tu wananchi,Walipogundua wakimwajibisha Halima na kumwacha bashite,Watastukiwa kwa upendeleo na udhalimu wao.Wakaja na gia ya kumsamehe halima. ile ilikuwa njia ya kumwachia bashite huru.Japo makosa ya Bashite yalikuwa makubwa kuliko halima.
Ipo lugha kamati hii hutumia,Kuwa hata wapinzani wapo.Wangapi?
Kumbuka hata bungeni wapinzani wapo ila ccm hupitisha sheria mbovu kwa wingi wao.So kigezo cha kuwepo wapinzani hakitowi taswira kwamba ndio haki itafuatwa.Never'Mkuchika na wenzio danganyeni watoto.
Watanzania muwe mnajiongeza,Hamna haki yoyote kwenye tume ya mkuchika.Nimewapa picha tu jiongezeni.Haki ipo mahakamani tu si vinginevyo.