Kamati ya Nidhamu Bungeni,Inacheza na akili za Watanzania.Si ya kuamini kamwe.

"All animal are equal, but other are more equal than other" by George Orwell in his novel "The Animal Farm" hii kaul huwa naitafakar sana mana ndo nachokiona mjengon, mana wote n wabunge lakn inaonekana kuna wabunge wana hak zaid ya kufanya lolote na wacchukulwe hatua yoyote, mfano Lusinde lakn hamna hatua yoyote alyochukulwa, upande wa pil ndo una tabu kwel kwel
 
"All animal are equal, but some are more equal than other" by George Orwell in his novel "The Animal Farm" hii kaul huwa naitafakar sana mana ndo nachokiona mjengon, mana wote n wabunge lakn inaonekana kuna wabunge wana hak zaid ya kufanya lolote na wacchukulwe hatua yoyote, mfano Lusinde lakn hamna hatua yoyote alyochukulwa, upande wa pil ndo una tabu kwel kwel
 
Hiyo kamati ni ya wale wanaccm wanaomini upinzani ni uhaini unategemea majibu gani? Hiyo kamati ilikaa lakini ilikuwa lengo lake ni kuridhisha hisia za speaker. Kwa maneno marahisi kamati haijatoa hukumu ya haki bali imekidhi kiu ya speaker.
 
Spika kumuamuru mnyika atoke akakaidi hili sikulisikia ila mkuchika amesema kwamba mnyika alikaidi amri ya spika kumtaka atoke
 
Kulikuwa na sababu kwa nini akatae kitoka. Speaker hakumsikiliza ombi lake. Huyu anastahili akutane na Malima wa Sa
 
Najiuliza tu, akitokea leo bungeni mbunge wa upinzani akasema "Majaliwa mwizi" spika atamuacha na kusema hana masikio hamsini ya kusikia kila mtu??
Mmhhh,,mi mwenyewe nshangaashangaa tu hapa mi nh'geni,,ebu njaliibu umuone
 
Walichokifanya kamati ya nidhamu bungeni ni viroja.Walimsamehe Halima mara ya kwanza kwa sababu moja tu.
Halima na Bashite walilalamikiwa kwenye tume hiyo kwa wakati mmoja,Nia yao kubwa ilikuwa kutokumwajibisha Bashite,Walimwita kama kuzuga tu wananchi,Walipogundua wakimwajibisha Halima na kumwacha bashite,Watastukiwa kwa upendeleo na udhalimu wao.Wakaja na gia ya kumsamehe halima. ile ilikuwa njia ya kumwachia bashite huru.Japo makosa ya Bashite yalikuwa makubwa kuliko halima.
Ipo lugha kamati hii hutumia,Kuwa hata wapinzani wapo.Wangapi?
Kumbuka hata bungeni wapinzani wapo ila ccm hupitisha sheria mbovu kwa wingi wao.So kigezo cha kuwepo wapinzani hakitowi taswira kwamba ndio haki itafuatwa.Never'Mkuchika na wenzio danganyeni watoto.
Watanzania muwe mnajiongeza,Hamna haki yoyote kwenye tume ya mkuchika.Nimewapa picha tu jiongezeni.Haki ipo mahakamani tu si vinginevyo.
Mwaka jana wabunge wa upinzani walisusia bajeti ambayo ccm waiipitisha,lkn maajabu wabunge ccm mwaka huu tena wanalalamikia bajeti yao wenyewe
 
Back
Top Bottom