Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
Tanganyika ya wadanganyika, hizo nguzo zinazotolewa na kupelekwa Mombasa na kurudi nazo wamezingelea au wameishia kubwabwaja tu kuhusu kanuni na sheria za manunuzi? Tangu mwanzo tulijua kuwa walikiuka hizo kanuni za kifisadi lakini kwa maslahi mapana ya umma. Bei ya kulipia nguzo moja ya umeme ilikuwa shilingi ngapi kabla ya Maswi na Profesa kuingia wizarani na sasa ni shilingi ngapi?
Kamati ya Ngwilizi, huyu ambaye ana hekaru kule Lushoto pamoja na Ben? I will be the last to trust them.
Mkuu, kwani Ngwilizi mwenyeji wa mkoa gani? Kwani hiyo hekaru liko jointly OWNED na Ben!!