Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,201
- 128,043
Habari ya lock down hiyo hakuna, hayo mastory ya lock down ilikua ni kichaka cha mzee pombe kujificha tu ila hakuna mtu atakayeshauri eti nchi iwekekwe lock down.Endeleeni kumshukuru Mungu na kina JPM. Tangu mwaka Jana mwezi March. Kumekuwa na Lockdowns mbali mbali. Na Sasa Pia. Lakini wazungu wamechoka na hawafuati masharti. Mzungu anaambiwa unavaa Mara moja. Then kama haijalowa unairudia baada ya siku 6. Lakini huku mtaani unaona kabisa wanavaa chafu na za muda mrefu. Ili wasilipishwe tu Faini. Results Ni kwamba corona badala ya kupungua ndo inazdi. Watu wamechoka na ndoa zinavunjika. Depressions. Ajira nk.
Leo mama akiambiwa na wataalamu kuwa muwe na lockdown. Mtarudi hapa kutukana na kuomba JPM afufuke. Jilinde uwezavyo. Lakini kwa aina ya maisha yenu. Nyumba za kupanga. Familia nne nk nyumba moja na vyoo 2 . Kwenu lockdown haina mana. Masks Ni hizi za kununua. Hata wazungu wanashindwa. Je wewe mtz. Mavitambaa haya huku ulaya hawaruhusu tena. Corona Ni Hatari kwa uchumi wako kuliko afya.
Hatua za kisayansi ambazo lazima mfate bila kujali umataga wenu ni zile za kawaida kabisa na ikiwepo kupata chanjo ya korona na sio zile hatua za kienyeji mlizokua mnadanganyana na mzee pombe mpaka akaenda na maji kiutani-utani.