#COVID19 Kamati ya Kuchunguza Covid-19 iwe makini sana na hadidu rejea

Endeleeni kumshukuru Mungu na kina JPM. Tangu mwaka Jana mwezi March. Kumekuwa na Lockdowns mbali mbali. Na Sasa Pia. Lakini wazungu wamechoka na hawafuati masharti. Mzungu anaambiwa unavaa Mara moja. Then kama haijalowa unairudia baada ya siku 6. Lakini huku mtaani unaona kabisa wanavaa chafu na za muda mrefu. Ili wasilipishwe tu Faini. Results Ni kwamba corona badala ya kupungua ndo inazdi. Watu wamechoka na ndoa zinavunjika. Depressions. Ajira nk.

Leo mama akiambiwa na wataalamu kuwa muwe na lockdown. Mtarudi hapa kutukana na kuomba JPM afufuke. Jilinde uwezavyo. Lakini kwa aina ya maisha yenu. Nyumba za kupanga. Familia nne nk nyumba moja na vyoo 2 . Kwenu lockdown haina mana. Masks Ni hizi za kununua. Hata wazungu wanashindwa. Je wewe mtz. Mavitambaa haya huku ulaya hawaruhusu tena. Corona Ni Hatari kwa uchumi wako kuliko afya.
Habari ya lock down hiyo hakuna, hayo mastory ya lock down ilikua ni kichaka cha mzee pombe kujificha tu ila hakuna mtu atakayeshauri eti nchi iwekekwe lock down.

Hatua za kisayansi ambazo lazima mfate bila kujali umataga wenu ni zile za kawaida kabisa na ikiwepo kupata chanjo ya korona na sio zile hatua za kienyeji mlizokua mnadanganyana na mzee pombe mpaka akaenda na maji kiutani-utani.
 
Nakusahihisha hapo. Ukiwapa foreigners report ya dawa zinavosaidia. Watakachofanya ni kuiga formula na ku apply kwao. Hivi kwa nn chochote anachotengeneza muafrika huwa ni bure kwa yeyote kukijua. Lakini mataifa mrngime yanaficha sana technology zao. Na yanazitumia kama advantage ya kibiashara. Ni lini na sisi tutajifunza kua wachoyo na wabinafsi ili kujinufaisha.
 
Afu Tatizo sio kufanya analysis kuhusu dawa. Tatizo ni kwamba je mna imani tena na wanaowapa dawa baada ya kudikia mambo yote ya agenda za kidunia na kadhalika. Je imani ipo?
 
Sio kwamba NIMR walikuwa hawafanyi tafiti za Covid-19, ishu ni kwamba haikuwa ikijulikana kama ambavyo mama kaona bora iwe wazi ili walimwengu watusome.

Na pia matokeo ya tafiti zao yawe wazi.
Matokeo ya tafiti ni siri. Ulisha ona mzungu anakupa tafiti yake ovyo. Hivi kwann tunapenda kugawa effort yetu bure bure. Why tusiwe wachoyo kama the rest of the world
 
Hebu nyie Mataga yale mawazo mwitu ya marehemu pombe bakini nayo wenyewe na familia zenu.

Wataalam wakija na maoni ya kisayansi lazima tuyafate ila kama wewe unataka kuishi kienyeji kama Musukuma nenda ukajifungie kwenye lile tanuru lake ujifuze na kutembea kifua mberee kama marehemu pombe.
Wanasayansi gani tulionao Tanzania wa kuwaamini hata ushauri wao uwe haupingiki tena.Angalia wanasayansi wakubwa huko magonjwa yalikoshika kasi hawana kauli moja na kila siku watu wanaandamana kupinga baadhi ya adha za corona.
 
Habari ya lock down hiyo hakuna, hayo mastory ya lock down ilikua ni kichaka cha mzee pombe kujificha tu ila hakuna mtu atakayeshauri eti nchi iwekekwe lock down.

Hatua za kisayansi ambazo lazima mfate bila kujali umataga wenu ni zile za kawaida kabisa na ikiwepo kupata chanjo ya korona na sio zile hatua za kienyeji mlizokua mnadanganyana na mzee pombe mpaka akaenda na maji kiutani-utani
Elewa kuwa mambo ya lockdown na visa vya corona sasa iko karibu kupindua nchi nyingi za Kiarabu. Uchumi wao umeporomoka sana kiasi kwamba raia wameanza kutokota kwa hasira.

Mfano mzuri ni kule Jordan yule mpuuzi ndugu yake mfalme Abdallah hana jipya na anatumiwa na maadui wa nje lakini amepata wafuasi kutokana na hali ya uchumi wa Jordan kuporomoka sana kutokana na kufungiwa ndani wasifanye kazi ilhali nchi yenyewe haina uwezo wa kuwalisha raia wake bure.
 
Elewa kuwa mambo ya lockdown na visa vya corona sasa iko karibu kupindua nchi nyingi za kiarabu.Uchumi wao umeporomoka sana kiasi kwamba raia wameanza kutokota kwa hasira.
Mfano mzuri ni kule Jordan yule mpuuzi ndugu yake mfalme Abdallah hana jipya na anatumiwa na maadui wa nje lakini amepata wafuasi kutokana na hali ya uchumi wa Jordan kuporomoka sana kutokana na kufungiwa ndani wasifanye kazi ilhali nchi yenyewe haina uwezo wa kuwalisha raia wake bure.
Hatuhitaji lockdown Tz bali tunahitaji hatua zingine za kisayansi ikiwepo chanjo.
 
Back
Top Bottom