Kamati ya Fedha ya Bunge PAC yatoa tamko: ATCL iko mahututi, itakufa hivi karibuni


Hii ni dalili” ajabu sana, kwa hizo figures Ina maana ATCL doesn’t exist, sasa itakufaje?
 
Kuna jibu gani hapa? Kweli hizi porojo ndizo unaona ni majibu. Be serious
 
Hivi wewe hao jamaa wanakulipa ngapi kwa kampeni hii? Tunajua wazi unafanyakazi hii kwa malipo. Tujulishane mwenzetu umeahidiwa kupewa kiasi gani?
 
Kwahio na zile ndege tulizoongezea nabado tunaongezea tunazidi kuchoma tu pesa ?
 
Hawa walijinasibu kuwa shirika linajiendesha kwa faida sasa likoje mahututi tena?
 
Sio mbili mkuu nasikia ni 3 tena moja lile likubwa la dreamliner na 2 airbus. Lakini mimi najiuliza, nini kifanyike ili hilishirika lisife? Tunakwama wapi?
Tuna madeni mengi na ndege haziko huru kuruka sehemu nyingi ambazo zingeleta tija.
 
Na hawa majizi bado yanaongeza ndege tu pamoja na hasara ná deni kubwa!!! Hakuna hata kusema ngoja tutafakari kwanza kama ni muhimu kuendelea na hii biashara ya safari za anga kwani kwa miaka mitano hasara ni 354 billions na deni ni 473 billions.
Tuna madeni mengi na ndege haziko huru kuruka sehemu nyingi ambazo zingeleta tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…