Kweli hata wabeba makopo wana haki ya kusikilizwa....hongera Lizaboni kwa kuongea u.pupuMkuu, hivi Ikulu mtaingia tu kwa kuendelea kufukuzana namkushinda humu JF? Hakika CHADEMA msahau kabisa suala la kwenda Ikulu labda mpaka mwaka 2080
Mkuu, hivi Ikulu mtaingia tu kwa kuendelea kufukuzana namkushinda humu JF? Hakika CHADEMA msahau kabisa suala la kwenda Ikulu labda mpaka mwaka 2080
Yan hili jamaa ni kama zimeruka aiseeMkuu wako ni Nape ukome kabisa kuita watu wakuu hapa
CCM inafanya kazi kuliko chama chochote cha siasa hapa nchini kwa vile kina man power ua kutosha. Nyie ambao ni chama cha ukabila na ukanda, ndo maana mnahangaika mara mwanza, mara kigoma huku mkipopolewa na mawe. Hivi unakumbuka ziara ya Kinana huko Mbeya?Endelea kuota ndoto za mchana,naona ndoto zenu za cdm kufa zimeyeyuka kama barafu baada ya wasaliti kutoswa! cdm inapiga kazi daily huku vijijini wakati nyie mnahangaika hapo lumumba fc kupiga umbea jf.Wakati ccm haina ubavu wa kuitisha mkutano CDM wao wanapiga kazi na mikutano kibao ya kumwaga elimu ya uraia.
yaani tittle na contents tofauti kabisa
Aweda; usiwe na wasiwasi hawa Magamba wanajitungia sheria ya kuwabana wao wala sio CHADEMA,mwaka 2015 kwa vyovyote CHADEMA itaingia madarakana na hizi sheria za kipuuzi na kikandamizi wanazopitisha kwa sababu ya wingi wao zitawaumiza wao maana piga ua 2015 CCM will be oposition,waache watunge as many as they wish maana hali ilivyo kwa sasa CHADEMA ndio inayoongoza nchi 2015 tutakabidhiwa madaraka tuu na sisi ndio tutakao zisimamia hizi sheria na nijuavyo ustaarabu na utu wetu tutazibadilisha na kuwapa wapinzani wetu the then equal and fair political ground
Hivi katika ma great thinkers na wewe umo? Great thinker gani anaacha kujadili issues anajadili watuunachangia changia tu kama kichaa kashika kalamu?tulia mbona una mhemko sana?si ukae ukusanye mawazo yako ndo uandike apa, sasa kisa cha kuruka ruka kama umekalia screw ni nini?angalia great thinkers wanavochangia vizuri, wewe ni kuruka ruka tu....mnapenda siasa sana vijana n
mpaka mnajisahau
Mkuu, waambie hawa. Maana wanatamani wawe kama CCM wakati chama tawala kina ofisi mpaka kwenye vitongoji. Wao hata makao makuu hawanakwanza jengeni ofisi zenu za chama ndio baadae kuingia ikulu jipe tamaa CHADEMA kuingia ikulu ni kitu kisichowezakana
Nawewe unamiliki nini?Mkuu, waambie hawa. Maana wanatamani wawe kama CCM wakati chama tawala kina ofisi mpaka kwenye vitongoji. Wao hata makao makuu hawana
Aweda, wakati mwingine sikuelewi unachokiandika kwa nini usichukuwe muda wako akamshauri Dr.Slaa aache ubabe.
Endelea tu kiwa msukule wa akina Mbowe hapo Kinondoni. Huna lolote zaidi ya ktumwatumwa tu kuwaandalia malazi wabunge wa viti maalumNawewe unamiliki nini?
Hahahahaaa huna hata aibu aisee
Unamiliki ujinga na ubongo mchafu kichwani mwako.
We ni km uko utumwani na hujajijua....njaa zako zitakuua jaribu kuwa makini
Mkuu, hivi hapo kuna ubabe gani?Aache ubabe kwa maslahi ya CCM na vibaraka wake?
jikite kwenye mada.
BTW:Hizi sheria za kikoloni wanazotaka kutunga zitakua kichocheo kikubwa cha mageuzi.Harakati za kuipinga sheria ya kidhalimu zitaleta impact ambayo hawakuitarajia
DUH!!! hii nchi kweli ina watu HAMNAZO....Aweda; usiwe na wasiwasi hawa Magamba wanajitungia sheria ya kuwabana wao wala sio CHADEMA,mwaka 2015 kwa vyovyote CHADEMA itaingia madarakana na hizi sheria za kipuuzi na kikandamizi wanazopitisha kwa sababu ya wingi wao zitawaumiza wao maana piga ua 2015 CCM will be oposition,waache watunge as many as they wish maana hali ilivyo kwa sasa CHADEMA ndio inayoongoza nchi 2015 tutakabidhiwa madaraka tuu na sisi ndio tutakao zisimamia hizi sheria na nijuavyo ustaarabu na utu wetu tutazibadilisha na kuwapa wapinzani wetu the then equal and fair political ground
Aweda, wakati mwingine sikuelewi unachokiandika kwa nini usichukuwe muda wako akamshauri Dr.Slaa aache ubabe.
AWEDA KAKA, hebu acha mbwembwe na ndoto zisizo na mashiko. we have got a fair and democratic president and